SERIOUS,MKE ANAITAJIKA

SERIOUS,MKE ANAITAJIKA

emavalery

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
628
Reaction score
1,249
Hello,JF members....natafuta mke awe serious, miaka 22 mpka 26 mkristo....mkoa wowote...aje inbox tuyajenge.
 
mnawaita wenyewe inbox , mkizinguliwa mnawalaumu akina maxence melo
 
Hivi kweli unawezaje kumtafuta mtu kupitia mtandaoni ambae hata hujui anafananaje ana Tabia gani
Hello,JF members....natafuta mke awe serious, miaka 22 mpka 26 mkristo....mkoa wowote...aje inbox tuyajenge.
 
Hivi kweli unawezaje kumtafuta mtu kupitia mtandaoni ambae hata hujui anafananaje ana Tabia gani
mwanamke anatengenezwa..ila mbka uwe gentlemen ndo utaweza kumbadili mwanake..mnaosubiri perfect woman kaeni ivoivo..ila sisi tukipenda kweli uwa tunabadilika.
 
wengine wanatuinaga vitoto hatujui ma
Hello,JF members....natafuta mke awe serious, miaka 22 mpka 26 mkristo....mkoa wowote...aje inbox tuyajenge.
isha wengine kbe wanantutaka..haha adi raha. Ff humu wanatusakamaga sana tisiniz.
 
mwanamke anatengenezwa..ila mbka uwe gentlemen ndo utaweza kumbadili mwanake..mnaosubiri perfect woman kaeni ivoivo..ila sisi tukipenda kweli uwa tunabadilika.

Hahahahaha nacheka utadhani mazuri
 
Hizi nyuzi zakusaka wake huwa mara nyingi zinakuwa nyingi msimu kama huu wakiangazi, namasika huwa nimsimu wawanawale kutafuta waume sijui kwann
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom