Serious buyers ONLY

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
6,143
Reaction score
3,626
Kama upo katika muziki na unataka kuendelea usikose kusoma USHAURI HUU (chini). tulia soma

 
Shukurani kwa salaam_sk huko instagram aliyempongeza kwa siku ya kuzaliwa na ndio nikamjua na nikaingia kumsoma kama kawaida yangu. Na ndio nimewaletea wale ambao hawajui cha kufanya au bado wanahata angaika wafanyeje...msichoke wajameni kazeni kibuti nanyi muone mavuno yenu.

Nikivutiwa mie basi nitahata kukusechi nikujue hadi nichoke mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…