Kabisa,bila kuboresha masrahi ya Mwalimu kupata elimu bora ni hadithi tu hapa kwetu Tanzania, tutaendelea kupeleka watoto wetu huko shule za Saints, shule zao za kayumba wataendelea kusoma watoto wa wakulima tuNi kweli kabisa mtoa hoja hujakosea..kwa maoni yangu ningefurahi kama walimu wangeboreshewa maslahi yao..na kama ingewezekana walimu wa shule ya msingi ndiyo wangetakiwa kupata mshahara mkubwa zaidi kuliko level zinazofuata kama sekondari nk..hii ni kwa sababu mwalimu wa primary ana kazi kubwa sana kwa huyu mwanafunzi..lakini Leo hii Mwl wa primary anaonekana hana thamani yoyote..watakuja na mikakati mingi sana ya kuboresha elimu lakini wasipowajali walimu ni hakuna kitakachobadilika
Walimu?wa nchi hii!labda....lakini kama walimu hawajitambui,maana yake hata haki zao hawazijui.Ngoja,wenda munaowategemea kuwahurumia wakiamua kuwa na huruma mtafikiriwa.Hii kada ya Ualimu siwezi kuihurumia kabisa.... Hawana umoja, hawana msimamo. So haya yote ni ugonjwa wankijitakia... I stand to be corrected!
sikio la kufa walimu wengi wanamahaba sana na magambaNi kweli kabisa mtoa hoja hujakosea..kwa maoni yangu ningefurahi kama walimu wangeboreshewa maslahi yao..na kama ingewezekana walimu wa shule ya msingi ndiyo wangetakiwa kupata mshahara mkubwa zaidi kuliko level zinazofuata kama sekondari nk..hii ni kwa sababu mwalimu wa primary ana kazi kubwa sana kwa huyu mwanafunzi..lakini Leo hii Mwl wa primary anaonekana hana thamani yoyote..watakuja na mikakati mingi sana ya kuboresha elimu lakini wasipowajali walimu ni hakuna kitakachobadilika
Dah hapa mkuu umenikumbusha kuna mwalimu mmoja alitupa lecture darasani baada ya kuona tumekuwa wakorofi alisema "nyie watoto madaktari waikigoma mgomo wao unaonekana,wanafunzi wakigoma mgomo wao unaonekana,wafanyakazi wa mashirika na viwandani wakigoma pia mgomo wao unaonekana na wakulima pia mgomo wao unaonekana lakini mgomo wa mwalimu hauonekani" akasema anaweza akagoma ila akaendelea kufundisha kama kawaida na bado msijuwe kama amegoma na mwisho wa siku ndipo matokeo yatawaambia kwamba anayefundisha yupo kwenye mgomo.Dah hapo ndo nikagundua kumbe kuna watu hajui kusoma na kuandika ili hali wapo vidato na vidato kumbe miaka yote walikuwa wanatumikia mgomo pamoja na mwalimu wao.Malipo yyt duniani huendana na kiwango cha elimu kwa hiyo ucjali kwa walimu wa sm kulipwa kidogo km sekondary. Waambie wakasome wawe na diploma au degree
Hivi....wacha tuonewe ni ujinga wetu na uoga wa kijinga utafikiri bila kazi hiyo huwezi kuishi ukijiamini unaweza kuepuka kuonewa