Hata zao la kahawa waliliua hivi kwa hizi Siasa za kukomoana mwisho ndo chama changu kinazidisha ukombozi usiokuwa na lazima kwa mazingira kama haya yenye chuki. Je Kilimanjaro kwa Siasa za kuacha watu ktk umaskini chama changu kina Majimbo mangapi.
Chuki huzaa kiburi na kiburi huzaa maamuzi magumu ambayo yamesababisha sisi kukosa hata Jimbo moja kuwa ktk mikono ya chama changu.
Tuache chuki tuijenge nchi kwa Ilani inayotekelezeka na hoja zenye mashiko kwa Watanzania sio kuwagawa kwa matabaka ambayo tayari yameshamea kwao.