A abdulahsaf JF-Expert Member Aug 31, 2010 858 130 Nov 30, 2012 #1 [h=2]Friday, November 30, 2012[/h][h=3]Bonyeza Vidio[/h]ZanziNews : Serikali yawasilisha pingamizi kesi ya viongozi wa uamsho Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mkusa Isack Sepetu amekubali ombi la upande wa mashitaka, kuwasilisha pingamizi dhidi ya kesi ya viongozi wa Uamsho, kuwa imefunguliwa kinyume na sheria. Imewekwa na MAPARA at 9:35 PM
[h=2]Friday, November 30, 2012[/h][h=3]Bonyeza Vidio[/h]ZanziNews : Serikali yawasilisha pingamizi kesi ya viongozi wa uamsho Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mkusa Isack Sepetu amekubali ombi la upande wa mashitaka, kuwasilisha pingamizi dhidi ya kesi ya viongozi wa Uamsho, kuwa imefunguliwa kinyume na sheria. Imewekwa na MAPARA at 9:35 PM
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Nov 30, 2012 #2 Binafsi sijapata logic hapa. how come upande wa mashitaka unawasilisha pingamizi?
MtamaMchungu JF-Expert Member Apr 10, 2011 8,347 11,227 Dec 1, 2012 #4 Saint Ivuga said: ndevu zao zimeshaota? Click to expand... Patron wetu wa O level (former major in the army) alikuwa anapenda kusema "usicheze na mamlaka". Unafuga fuga vindevu, tunanyoa.
Saint Ivuga said: ndevu zao zimeshaota? Click to expand... Patron wetu wa O level (former major in the army) alikuwa anapenda kusema "usicheze na mamlaka". Unafuga fuga vindevu, tunanyoa.