Serikali yawasilisha pingamizi kesi yaviongozi wa uamsho


A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Messages
859
Likes
3
Points
0
A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2010
859 3 0
[h=2]Friday, November 30, 2012[/h][h=3]Bonyeza Vidio[/h]ZanziNews : Serikali yawasilisha pingamizi kesi ya viongozi wa uamsho


Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mkusa Isack Sepetu amekubali ombi la upande wa mashitaka, kuwasilisha pingamizi dhidi ya kesi ya viongozi wa Uamsho, kuwa imefunguliwa kinyume na sheria.

Imewekwa na MAPARA at 9:35 PM
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
340
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 340 180
Binafsi sijapata logic hapa. how come upande wa mashitaka unawasilisha pingamizi?
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
44,582
Likes
29,853
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
44,582 29,853 280
ndevu zao zimeshaota?
 
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
3,992
Likes
903
Points
280
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
3,992 903 280
ndevu zao zimeshaota?
Patron wetu wa O level (former major in the army) alikuwa anapenda kusema "usicheze na mamlaka". Unafuga fuga vindevu, tunanyoa.
 

Forum statistics

Threads 1,212,926
Members 461,848
Posts 28,460,266