Serikali yawadanganya watanzania kuhusu kozi ya kutengeneza ngozi chuo cha DIT-Mwanza

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Serikali ilitoa tangazo kuhusu kuwasomesha watanzania bure kwenye kozi ya kutengeneza ngozi na vitu hivyo serikali imeshindwa kutoa mafunzo hayo kufatana na kukosekana kwa fedha ya kuendesha miradi huu ambao ulitaka watanzania 1000 kutuma maombi.
 
Watanzania sijui nani katuroga wallahi! Serikali inatusomeshea watoto wetu bure,bado mnataka mijitu mizima nayo isomeshwe bure!? Kuna ubaya gani Kama mngechangia gharama za masomo ili mpate ujuzi wa kuwakwamua kwenye umaskini na utegemezi! Watanzania tujiongeze kwenye mambo ya msingi. Hapo ungeambiwa ubeti mkeka wa Chelsea na Arsenal aaaaaaaah!
 
Mama yako mchawi sana umezaliwa gest kwa sisi tuliwaambia watoe hilo tangazo si kiherehere chao
 
Asante sana mkuu. Ila ukijifunza Kujitegemea na kuacha utegemezi itakupunguzia jazba na mihemko maishani.Utalaumu wengine kwa mapungufu na uzembe wako bila sababu za msingi. Jioni njema.
 
Uvccm kazini
 
nilitafuta sana gharama za mafunzo zikoje...siku pata..kumbe ilikuwa bure?

Back
Top Bottom