Serikali yatangaza kuyafunga machimbo ya Mgusu mkoani Geita

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Serikali yatangaza kuyafunga machimbo ya Mgusu yaliyopo wilayani Geita leo.

Hatua hii imefikiwa baada ya wachimbaji watano kufariki na wengine wanne kujeruhiwa kwa kufunikwa na kifusi jana, maofisa wasema.
 
Back
Top Bottom