Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Lete hard copy yenye maelezo hayo co habari kwa ufupi fupi! LEO GAZETI LA UHURU LITAUZIKA MITAANI
Wameanza kulipa promo gazeti la magamba hili.
Lete hard copy yenye maelezo hayo co habari kwa ufupi fupi! LEO GAZETI LA UHURU LITAUZIKA MITAANI
View attachment 141988link!!??
Naona neema kwa walimu zaanza kuonekana mwaka huu 2014, hizi ni ajira kwa ajili ya waliohitimu Daraja IIIA, Stashahada za Ualimu na ***Shahada za Ualimu***
SOURCE: GAZETI LA UHURU
hasa majina wanadisplay lini? hata waandishi wa habari waache kuchukua habari nusunusu wanaboa.
Hakuna shahada ya Ualimu, bali kuna, Cheti Cha Ualimu, Stashahada Ya Ualimu, na Shahada Ya Elimu. Kuwa makini unapotaja Elimu za watu.
Romete, Gazeti la UHURU halina online website hivyo basi huwezi iona hii habari online, otherwise nikusaidie page ya habari hiyo
View attachment 141988
Toa huu upuuzi mode hamna ukweli wowote juu ya hiyo habari
weka link hapo tuone
Haya sasa kujiandaa kwenda kuchapa kazi
Pamoja na serikali kutangaza kwenye tovuti hii PMORALG | Prime Minister's Office - Regional Administration and Local Government. kuwa watatangaza orodha ya majina ya waalimu wapya 2014 ifikapo tarehe 15 march lakini naona tarehe hii inapita taratibu tena kimya kimya bila chochote. CCM OYEEEEEEEEEE!!!!!!