nashangaa watu wanahangaika weee na ma document makubwa makubwa na wengine wanasema eti ni kampuni ya JK!
wenye Dowans Tanzania mkitaka majina yao nendeni jengo la Ushirika pale Lumumba ofisi za BRELA mtazame MEMARTS mtaona
how hard is that?
Ikishindikana si mumuulize BADRA MASOUD wa TANESCO atakuambieni owner wa Dowans ni nani
its not that hard is it?
Halafu hata mkishawajua wenye Dowans ili iweje? as far as I know they are not criminals na sio wao walio sign hii mikataba
wabaya wenu mnawajua sema hamtaki kuwataja wala kuwatafuta
nao ni ma Lawyers walio negotiate huu mkataba on behalf of serikali na pia walio pitisha huu mkataba
you cant pick and chose nani mnataka kumjua na kumlaumu