Serikali yarudisha walimu

Fungomali

Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Habar Wana Jamvi,

Baada Ya Serikali Kushindwa Kuwapeleka Wanachuo Walimu BTP Kama Ilivyokawaida Nmepata Habari Kuwa Imeamua Kuwarudisha Nyumbani Hadi Tarehe Za Kukaribia Kufanya Mitihan Mwez Wa Tano Kwa Kukosa Chakula Na Fedha Za Btp,

Tayar Chuo Cha Marangu Korogwe Na Bustan Second Year Wameshaondoka Kwenda Majumbani,
 
na walimu wanaosubir ajira mwaka huu cjuiii
 
Juzi mkulu kasema wanakusanya billion ngapi kwa mwezi vile?
 
Ni Kicheko Wiki Zilizopita Ilionekana Bodaboda Inapeleka Unga Pale Chuo Cha Ualimu Morogoro,,
Ninachocheka Ni Kwa Bodaboda Kubeba Unga Wa Wanachuo Zaid Ya Elfu Moja, Ulienda Kukopwa Mashne Mjn,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…