Serikali yapinga hukumu ya kesi ya Kikatiba iliyozuia wasichana kuolewa wakiwa na miaka 14

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg
 
Nimeiona hii, sasa sijui maana yake nini?
Je sirikali inataka mabinti waolewe wakiwa na umri wa miaka 14?
 
Wadada wakubwa wameona wadogo wanaolewa wao wakitumiwa kama chombo cha starehe na kubaki ma single mama, wakaamua kwenda kupinga wadada wadogo wasiolewe, mi nazani wawaache mabinti wanaojisikia au wapo tayar kuolewa waolewee tuu
 
Back
Top Bottom