Elimu ni sawa na biashara nyingine yeyote huwezi kunilazimisha kutoza ada wanayotaka watu wa serikalini. Huwezi kuniamria shule ya kupekeka mtoto wangu na pesa nilipayo ni jasho langu kama naona maumivu nitapeleka mtoto magufuli schools. Waache wenye hela waanzishe elite schools nasi tutapeleka watoto. Hatuwezi kuendesha nchi kwa matamko wakati kuna sheria.
Jamani hili la shule mbona kama halijatiliwa mkazo na Serikali. Hivi inakuwaje mtoto anasoma day Primary School eti anatakiwa alipe 4 millioni. Sasa hizo pesa mtu anazitoa wapi??? Kwa kweli shule binafsi zimekuwa na Tozo la juu bila sababu. Nimeshangaa pamoja na agizo la Rais bado wazazi wanatakiwakulipa milioni 4. Kwa mshahara upi? Hiyo Millioni 4 unakuta eti unalazimishwa uniform kila mwaka, vitabu,chakula n.k. Sikatai kwamba bei elekezi ya 150,000 inastahili ila hiyo pesa kwa wakati huu ni ngumu ukizingatia hata mishahara yenyewe. Hizi shule zinaweza kuwa kichocheo cha watu kuwa wezi tunaomba ada elekezi itolewe haraka kama hiyo ya 150,000/= imeonekana ni ndogo sana basi hata 800,000/= kwa mwaka kwa wale wanaotoa chakula na 500,000 bila chakula lakini siyo milioni 4. Tunaomba namba za kutoa malalamiko zitolewe ili wananchi waweze kutoa maoni.
Uhuru bila mipaka ni wendawazimu-kila mtu akiwa huru kujipangia alitakalo(mfano ada aitakayo)itakuwa vurugu.Afterall sheria hizi za vidhibiti ada zilikuwepo ni usimamizi tu ulilega,usidhani watu wamekurupuka.Ukiachiwa ufanye utakalo kwa sababu tu unapesa mwisho utataka kununua coco beach ili ujenge shule ya chekechea na kuweka ada pasua kichwa.Hatuhitaji kuwa na taifa la kuabudu wenye pesa bali tunahitaji taifa la watu wanaofata sheria na taratibu za nchi bila kujali financial status zao.Elimu ni sawa na biashara nyingine yeyote huwezi kunilazimisha kutoza ada wanayotaka watu wa serikalini. Huwezi kuniamria shule ya kupekeka mtoto wangu na pesa nilipayo ni jasho langu kama naona maumivu nitapeleka mtoto magufuli schools. Waache wenye hela waanzishe elite schools nasi tutapeleka watoto. Hatuwezi kuendesha nchi kwa matamko wakati kuna sheria.
Elimu ni sawa na biashara nyingine yeyote huwezi kunilazimisha kutoza ada wanayotaka watu wa serikalini. Huwezi kuniamria shule ya kupekeka mtoto wangu na pesa nilipayo ni jasho langu kama naona maumivu nitapeleka mtoto magufuli schools. Waache wenye hela waanzishe elite schools nasi tutapeleka watoto. Hatuwezi kuendesha nchi kwa matamko wakati kuna sheria.
hivi tumelazimishwa kuwapeleka huko wanapotoza hizo hela kubwa???
Nina watoto wawili mmoja anasoma Precious Blood Sec School na mwingine anasoma Henry Gogarty Sec zote zinamilikiwa na kanisa Catholic ukweli ni kwamba ada na michango mbali mbali ni tishio la kiuchumi kwa wazazi waliopeleka watoto shule hizo.Afadhali Henry Gogarty ada ya mwanzo inaumiza kama michango ya majengo,sijui ada ya maji ya moto lakini Precious Blood kama mzazi hauko vyema nakushauri usimpeleke mtoto pale.
Kwanza kero ya michango ni kubwa kupita maelezo
Pili mwanao usipofikisha wastani wa 86 akifika form 3 uongozi wa shule unakuita mzazi na kukutaarifu mwanao atasoma lakini atajiandikisha katika kituo kingine ili aweze kufanya mthani wa form 4 nia ni kulinda jina la shule.Fikiria mzazi umelipa ada miaka 3 michango ya kufa mtu uongozi wa shule unakutaarifu mwanao atafute kituo au shule nyngine ya kumalizia kidato cha nne.
Serekali imeziachia sana taasisi za dini kujiamulia watakavyo hasa suala la michango mbali mbali.Mfano michango ya majengo ya nini wakati wazazi si wamiliki wa hizo shule,form za wanafunzi wakati wa kujiunga na hizo shule zimefanywa mradi mkubwa.Nakumbuka wakati nampeleka mwanangu mwaka jana wanafunzi waliofanya mtihani kituo cha Arusha walifikia idadi ya 2,768 x 20,000/= ambayo ni sawa na tsh 55,360,000/= idadi iliyotakiwa ni wanafunzi 100 tu huu ni wizi wa mchana kweupe unaofanywa na hizi shule.Bado kulikuwa na kituo cha Kilimanjaro,Dar na Mwanza haya ni mapato makubwa sana yasiyotozwa kodi.Kitendo cha kutoa fomu nyingi sana wakati unajua idadi ya wanafunzi utakayo chukua ni ndogo sana ni sanaa ya ukwapuaji wa fedha za waTanzania bila kujali ugumu wa maisha unaowakabili.Mwanaunzi akichaguliwa mzazi utatakiwa kulipa ada na micngo mbali mbali kiasi cha Tsh 1,700,000/= halafu mwezi wa July ada ya kumalizia isiyopungua 1,000,000/= ukikataa mwanao atakwenda shule za kata ambazo hazina waalimu wa kutosha,motisha ya waalimu,vifaa na maabara hakuna akimaliza kidato cha nne atakuwa mzigo kama mawaziri mzigo wa Kikwete.
Kwakuwa taasisi za dini zina shule nzuri,ifike wakati serekali ikazipatia ruzuku kwakuwa watoto wanaosoma ni watanzania na hizo shule zikaelekezwa kutoza ada za kawaida ambazo hata watoto wa maskini wataweza kumudu.Kinachotokea sasa ni watoto wa watu wenye uwezo tu ndio wenye kuweza kumudu gharama kubwa na watoto wa maskini kuwekwa kando.Ikiwa shule zitapatiwa ruzuku mfano mishahara ya waalimu na wazazi wakati changia gharama nyingine ada inaweza kushuka hadi tsh 500,000/= kwa mwaka ambayo waTanzania wengi wataweza kumudu.