Kisena si ndio yule kijana aliyemtia ngwara komanda wa polisi wilaya fulani kule shinyanga hadi kofia yake na yeye wakadondoka chini? Kisa eti kwa nini kamtoa ndani mpinzani wake kisiasa, mafisadi walipoona huo ujasiri wakamleta dar kumnunulisha UDA kwa bei kama sifuri!!!!