Serikali yalikubali ombi la radhi la MwanaHALISI, yatoa onyo kali kwao

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
7876eb13b46f2e78c5d803ba2450af44.jpg
 
UHURU nao wanapaswa kuomba radhi kwa uuma wa watanzania
 
Irrelevant question!

Kukili makosa ni moja ya uungwana.

Wewe uko nyuma ya keyboard unafurahia maisha yako wakati wao wanategemea mapato ya gazeti katika maisha yao.

Kama gazeti lao likifungiwa ninaamini huwezi hata kuwasaidia katika maisha yao.

Wapambe ni nuksi!

Kwako ni irrelevant lakini kwangu ni relevent sababu ndiyo wahusika wakuu nimeuliza wako chini ya nani??Usikimbie swali jibu japo ni ngumu kumeza ila ni ukweli
 
Hii ni mbinu tu ya kutisha waandishi.

Huyu bwana atapita tu kama walivyopita wengine wengi hapa duniani.
 
Irrelevant question!

Kukili makosa ni moja ya uungwana.

Wewe uko nyuma ya keyboard unafurahia maisha yako wakati wao wanategemea mapato ya gazeti katika maisha yao.

Kama gazeti lao likifungiwa ninaamini huwezi hata kuwasaidia katika maisha yao.

Wapambe ni nuksi!
Shule za kata ni laana "Kukili-kukiri", lakini ndio faraja ya hili lichama la mashetani (ccm).
 
Nivizuri ila wawe makini na Magazeti haya
hii nchi lazima tulinde amani kwa nguvu zote,
kudharau habari za uchochezi na uzushi ni hatari kwa taifa
 
Back
Top Bottom