Serikali yakifungia Kiwanda bubu cha samaki jijini Dar es Salaam

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,
Ikiwa dhana ya kufuta ubovu katika sekta mbalimbali hapa nchini leo serikali imechukua maamuzi mazito ya kukifungia kiwanda bubu cha samaki jijini Dar es Salaam.

Haya ndiyo maamuzi ya Serikali yakukifungia Kiwanda bubu cha samaki Kamba cha Railway Club Gerezani jijini Dar es Salaam kwa kukiuka taratibu za kibiashara. Baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema kuwa kuna kiwanda kilichofunguliwa na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata sheria.
 

Attachments

  • vvvvvvvvvvv.mp4
    2.3 MB · Views: 20
Back
Top Bottom