Ofisi Ya Rais Menejementi Ya Utumishi Wa Umma Inapenda Kuwaarifu Wananchi Kupuuza Habari Inayosambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Inayosema
"Waziri Angellah Kairuki Amesema Kama Wewe umemaliza Chuo Kikuu Na Umri Wako Umevuka Miaka 30 Endelea Kusubiri Ajira Kwani Sasa Hivi Tunachukua Walio Na Chini Ya Umri Wa Miaka 30"
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais Management Ya Utumishi Wa Umma Hajasema Maneno Hayo Ni Maneno Yaliyotengenezwa Na Waharifu Wa Mitandao Hivyo wananchi Mnaombwa Kupuuza Habari Hiyo
Hivi hii ni Tanzania tuliyoachiwa na Nyerere? Hivi kweli hii habari ina hadhi ya kutolewa maelezo na ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Hadi aibu kwa nchi hii. Kila kitu ni habari ya kukanushwa na Rais?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.