Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Atakuwa kashikiliwa na wale alioenda nao bashite kufanya ujasusi claudsKwa hiyo anashikiliwa na nani? Isije ikawa tumefika sehemu hata mahakama ikane kuwa sio iliyomnyima Lema dhamana!
Kama yuko huru kweli... Wale maofisa pale hospitali wanafanya nini??