Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Jun 6, 2013 #1 Katika kile kisichotegemewa na wananchi, serikali imeingia tena kwenye kashfa ya elimu kwakuchapisha vitabu vya hisabati vinavyoonesha 7x2 = 15!!? Souce kutoka kwenye vyanzo vya magazeti leo 6/06/2013
Katika kile kisichotegemewa na wananchi, serikali imeingia tena kwenye kashfa ya elimu kwakuchapisha vitabu vya hisabati vinavyoonesha 7x2 = 15!!? Souce kutoka kwenye vyanzo vya magazeti leo 6/06/2013
mdeki JF-Expert Member Mar 28, 2011 3,300 466 Jun 6, 2013 #3 Kwani ni leo tu, mbona tangu siku nyingi makosa hayo yapo tena kibao tuu, we jaribu kuangalia vitabu vya Emac utaona makosa hasa kwenye mifano Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kwani ni leo tu, mbona tangu siku nyingi makosa hayo yapo tena kibao tuu, we jaribu kuangalia vitabu vya Emac utaona makosa hasa kwenye mifano Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kuku87 JF-Expert Member Mar 3, 2013 1,220 293 Jun 6, 2013 #4 still kashfa mana hayo makosa yanaepukika huwezi ukapublish kitabu bila kuhakiki ilichoandikwa huwezi jua hiyo typing error imeshaharibu watoto wangapi walioamini 7*2 ni 15 coz in real sence huwezi kufikiria kama kuna shida
still kashfa mana hayo makosa yanaepukika huwezi ukapublish kitabu bila kuhakiki ilichoandikwa huwezi jua hiyo typing error imeshaharibu watoto wangapi walioamini 7*2 ni 15 coz in real sence huwezi kufikiria kama kuna shida
S sokoinei JF-Expert Member Feb 27, 2012 1,832 566 Jun 6, 2013 #5 Nyambari huyo amepewaga tenda na chama chake.chezea chama cha kupindua?
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Jun 6, 2013 Thread starter #6 CANIMITO said: Typing error.. Click to expand... Hata waziri wa Elimu ni Error!
papaa2015 JF-Expert Member Jul 12, 2012 411 100 Jun 7, 2013 #7 unaweza kuta wakati kinachapwa mtu wa kuhakiki alikuwa kwenye kampeni ya uchaguzi akaamue aruhusu tu wachape....teh teh teh
unaweza kuta wakati kinachapwa mtu wa kuhakiki alikuwa kwenye kampeni ya uchaguzi akaamue aruhusu tu wachape....teh teh teh
Mshobaa JF-Expert Member Apr 7, 2013 1,678 595 Jun 7, 2013 #8 Hivyo vitabu vilichapishwa na vilaza walioghushi vyeti katika elimu zao