Serikali Yaingia Kwenye Kashfa ya Elimu Tena

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Katika kile kisichotegemewa na wananchi, serikali imeingia tena kwenye kashfa ya elimu kwakuchapisha vitabu vya hisabati vinavyoonesha 7x2 = 15!!?

Souce kutoka kwenye vyanzo vya magazeti leo 6/06/2013
 
Kwani ni leo tu, mbona tangu siku nyingi makosa hayo yapo tena kibao tuu, we jaribu kuangalia vitabu vya Emac utaona makosa hasa kwenye mifano

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
still kashfa mana hayo makosa yanaepukika huwezi ukapublish kitabu bila kuhakiki ilichoandikwa huwezi jua hiyo typing error imeshaharibu watoto wangapi walioamini 7*2 ni 15 coz in real sence huwezi kufikiria kama kuna shida
 
unaweza kuta wakati kinachapwa mtu wa kuhakiki alikuwa kwenye kampeni ya uchaguzi akaamue aruhusu tu wachape....teh teh teh
 
Hivyo vitabu vilichapishwa na vilaza walioghushi vyeti katika elimu zao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom