Serikali yahitaji madarasa 8,392 kila mwaka kutokana na ongezeko la watoto 330,000

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
uhaba wa madarasa.jpg

SERIKALI italazimika kujenga jumla ya madarasa 41,646 katika kipindi cha miaka mitano ukiwa ni wastani wa madarasa 8,392 kwa mwaka ili kukabiliana na idadi ya watoto wanaoanza darasa la kwanza.

Hali hiyo inatokana na kuwepo kwa ongezeko la wastani wa watoto 333,169 kila mwaka kwa miaka mitano ijayo kuliko idadi ya kawaida linalochangiwa na ongezeko la uzazi nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa Sensa ya Taifa ya Watu na Makazi yam waka 2012, watoto waliokuwa na umri wa kati ya miaka 2-6 wako 1,665,843 zaidi ya wale wenye ....

Habari zaidi, soma hapa => Serikali yahitaji madarasa 8,392 kila mwaka kutokana na ongezeko la watoto 330,000 | Fikra Pevu
 
JPM anajisumbua bure kwa uzazi huu hawezi tosheleza mafawati na vyumba. We need a policy on birth control
 
Back
Top Bottom