Serikali yafuta adhabu ya Jela kuhusu risiti

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,388
24,947
Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dkt. Philip Mpango, amefafanua adhabu ya kosa la kutotoa ama kudai risiti katika manunuzi na kusema kuwa serikali imefuta kipengele cha kufungwa na pia faini itatozwa kulingana na ghamara ya bidhaa itakayonunuliwa.

Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dkt. Philip Mpango,Akizungumza leo Mjini Dodoma na kupitia Shirika la Habari la Taifa, Dkt. Mpango amesema kuwa wameamua kufanyia marekebisho sheria hiyo kutokana na maoni ya wadau mbalimbali lakini bado adhabu itatolewa kwa mtu yeyote asietoa ama kudai risiti wakati wa mauzo.

Dkt. Mpango amesema kuwa moja kati ya faida kwa wafanyabishara katika kutoa risiti ni pamoja na kuweka rekodi nzuri katika biashara lakini pia na mnunuzi kujuani kiasi gani umekatwa kwa ajili ya kodi.

Amesema kuwa sheria waliyoiweka sasa adhabu itatolewa kutokana na ukubwa wa mauzo ya mfanyabiashara ili kuwalinda wafanyabiashara wadogo ambao watakuwa wanatenda makosa hayo ili kuwakumbusha umuhimu wa kutoa risiti katika mauzo yao.

Ameeleza kuwa lengo kuu la kufanya hivyoni kujenga taifa lenye utamaduni wa kulipa kodi lakini pia fedha hizo zitasaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo katika sekta ya Afya, Elimu na maeneo mengine.

Dkt. Mpango amesema kuwa wapo wafanyabiashara wengine wanauza mamilioni ya shilingi lakini hawatoi risiti zamauzo yao jambo ambalo linaikosesha serikali mapato halali na pia mnunuaji anakua hajui ni kiasi gani cha kodi amekatwa kutoka na manunuzi ya bidhaa hizo.

uploadfromtaptalk1466765700254.jpg

Chanzo : EATV
 
View attachment 359709

Chanzo : EATV
Mpango, ulaya hasa scandinavia and nordic countries wanafanyaje, go and learn!
 
ulaya na tz ni mbali sana.....
kule baridi ,kwetu joto
kule weupe wengi, kwetu weusi wengi
kule siasa za wazi, kwetu...................
kule demokrasia, kwetu.....................
kule wanaongoza kwa uwazi, kwetu......
kule mtu anasema leo (Uk )anajiuzulu nchi inataka mawazo mapya, kwetu.........
samahani kama nimekosea..
 
Nimekuelewa
 
Hivi nyie mnajua hata maana ya marekebisho ya sheria au maoni ya wadau? Vichwa maji wengi hukimbilia neno kukurupuka!

Kubali kurekebishwa na hiyo ndio tabia ya muungwanà awapo amekosea. Ni kweli wamekurupuka kwamfano ingekuwa ni mgonjwa alitakiwa apewe vidonge apite zake hivi we daktari ushamfanyia upasuaji afu mbaya unashindwa kumrudishia ndo unatafuta kosa liwe la mgonjwa. Kazi yao nikutunga sheria wakae wajiridhishe isije ikawa kama yaleeee yakutaka ikulu iwatungie sheria kisa adhabu ya m7 inaonekana ni ndogo!
 
Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dkt. Philip Mpango, amefafanua adhabu ya kosa la kutotoa ama kudai risiti katika manunuzi na kusema kuwa serikali imefuta kipengele cha kufungwa na pia faini itatozwa kulingana na ghamara ya bidhaa itakayonunuliwa.

Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dkt. Philip Mpango,Akizungumza leo Mjini Dodoma na kupitia Shirika la Habari la Taifa, Dkt. Mpango amesema kuwa wameamua kufanyia marekebisho sheria hiyo kutokana na maoni ya wadau mbalimbali lakini bado adhabu itatolewa kwa mtu yeyote asietoa ama kudai risiti wakati wa mauzo.

Dkt. Mpango amesema kuwa moja kati ya faida kwa wafanyabishara katika kutoa risiti ni pamoja na kuweka rekodi nzuri katika biashara lakini pia na mnunuzi kujuani kiasi gani umekatwa kwa ajili ya kodi.

Amesema kuwa sheria waliyoiweka sasa adhabu itatolewa kutokana na ukubwa wa mauzo ya mfanyabiashara ili kuwalinda wafanyabiashara wadogo ambao watakuwa wanatenda makosa hayo ili kuwakumbusha umuhimu wa kutoa risiti katika mauzo yao.

Ameeleza kuwa lengo kuu la kufanya hivyoni kujenga taifa lenye utamaduni wa kulipa kodi lakini pia fedha hizo zitasaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo katika sekta ya Afya, Elimu na maeneo mengine.

Dkt. Mpango amesema kuwa wapo wafanyabiashara wengine wanauza mamilioni ya shilingi lakini hawatoi risiti zamauzo yao jambo ambalo linaikosesha serikali mapato halali na pia mnunuaji anakua hajui ni kiasi gani cha kodi amekatwa kutoka na manunuzi ya bidhaa hizo.

View attachment 359709

Chanzo : EATV
Sasa kilichomkurupua kuleta hoja ya kufunga watu ni nini ? ndio maana niliuliza humu kama huyu jamaa amewahi kufanya biashara yoyote .
 
Kwani serikali hii inakimbizwa na nani?? iwe makini kwenye maamuzi. Kukurupuka kutaliangamiza taifa
 
Back
Top Bottom