Serikali ya Uturuki na Ugaidi

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Hivi karibuni kumetokea wimbi la mashambulizi ya kigaidi nchini Uturuki.
Ukirudia historia serikali ya Uturuki ndio walikuwa wafadhili wakubwa wa hii kikundi cha kigaidi cha dola ya kiislam, leo hii hawa magaidi wamerudi kushambulia Uturuki na kuua mamia ya raia wasiokuwa na hatia. Hii iwe fundisho kwa nchi ama viongozi wanaofadhili vikundi hivi vya kishetani iwe Islamic State, Alshaabab,Alqaeda nk. Hakuna sehemu yeyote katika uislam inayohalalisha kuua watu wasio na hatia.
Nimatumaini yangu Rais ajaye wa Marekani atakuwa very serious kupambana na hawa magaidi, tunataka dunia iliyosalama ambapo dini zote ziishii kwa upendo kama walivyokuwa wakiishi mababu zenu. Ukisoma historia ya kuanza dini ya kiislam bila msaada wa mfalme wa Ethiopia ambaye alikuwa mkiristo wale wakimbizi wa kiislam waliokimbilia Ethiopia kutafuta usalama wao wangeuawa, mfalme huyo aliwapokea na kuwahifadhi na baadaye wakarudi Mecca.
 
Back
Top Bottom