Serikali ya Tanzania Yawekeza MAREKANI! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Tanzania Yawekeza MAREKANI!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kinyungu, Nov 4, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Katika kutekeleza kwa vitendo sera yake ya diplomasia ya uchumi serikali ya Tanzania imesema kuwa imewekeza kwenye majengo huko USA ambapo kwa sasa majengo hayo yanapangishwa na serikali inapata USD 250,000/- kwa mwaka.

  Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya habari chanel ten leo saa moja jioni.


  Tuipongeze serikali yetu jamani kwa mbinu hizi bunifu za uwekezaji.....teh teh teh......
   
 2. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Uliza yalinunuliwa Dola ngapi, yanaweza kudumu kwa miaka mingapi ndo tunaweza kujua kama tumeula au tumeliwa.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hiyo $250,000 ni Gross au Net?

  Na hela ya iliyotumika kununua hilo jengo ($24m) ingetumika kujenga nyumba ngapi hapa za kuishi hapa bongo? Watu kibao wangepata nyumba za kuishi kama wangetumia kujenga nyumba za bei nafuu, pia ajira and most importantly hela ingebakia kwenye mzunguko wetu hapa hapa sio huko majuu!
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ndullu ndivyo anavyomshauri kilaza wetu nae anakubali bila kufanya analysis; huyu gavana ni bomu kabisa hawezi kusaidia uchumi wa Tanzania unaona dollar imeanza kupanda tena!!
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Gross....
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Si haba naona serikali imejingiza kwa nguvu biashara real estate ,ulaya majumba,hapa nyumbani milikisha mashamba makubwa.
   
 7. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  napita
   
 8. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama ni ukweli basi ni ubwege uliopitiliza.
   
Loading...