fundi radio
Member
- Apr 2, 2023
- 61
- 104
Hivi sasa Tanzania ina miaka Zaidi 60 tokea tupate Independence, ina wasomi mbalimbali na wataalamu kwenye different sectors.
kwa mujibu wa sensa ya 2022 umri kati 18-35 ni 77% ya watu wote nchini. eeh nguvu kazi ni ya kutosha.
kupitia vyuo vikuu , vyuo vya kati, ufundi(VETA), SIDO na waatalamu/wabunifu wazawa.
serikali inapaswa kuwekeza kwa hao wanataaluma, inawezekana ikawa kwa groups or individuals.
kwenye hizo institutions nilizozitaja hapo juu , huwa pana ibuliwa mawazo ya kiuchumi , kibiashara , security, Techonogy almost kila changamoto inayo face jamii yetu, basi kuna solutions huwa zina ibuliwa na wabunifu na wanataaluma wetu wazawa.
kila projects , miradi ya kimaendeleo inayoanzishwa na serikali inapaswa kuwashirikisha wanataaluma na vijana kuanzia hatua ya kwanza ya wazo/ideas mpaka hatua ya utekelezaji/ implementation.
mfano mradi wa cctv camera katika miji za sehemu mbalimbali ie mipakani ya nchi, hii inaweza kuwa ni wazo la serikali au wabunifu , wasomi, lakini wanatakuwa collaborate Pamoja kwanzia hatua ya ideas mpaka implementation. hii itawezesha kutoa fursa kwa wasomi wetu kutumia ujuzi wao kwa vitendo.pia serikali itakuwa ime create more jobs kwa vijana wake.
mfano mradi wa jangwani je wasomi wetu(wasomi wa Ardhi na wahandisi mmbalimbali) walishirikishwa tangia mwazo wa ideas mpaka utekelezwaji wake? maana wasomi ni haki yao kujua ni nini kinaendele kwenye nchi yao , kwakuwa wao ndio waangalizi, wasimamizi na waendelezaji wa hiyo miradi.
mfano BRT je, lilikuwa ni wazo la wasomi wetu ? serikali ikishirikiana na wasomi wazawa watasaidia ku identify specific challenges, na kuja na prospective solutions.
wasomi wangesema kwamba tu implement urban planning coz huwezi kufanya mradi mkubwa kama huu bila jiji kupimwa kisasa.
Barabara zingepanuliwa kwanza ziwe 4*4 or 5*5 kwenye barabara zenye traffic kubwa hii ingesaidia kupunguza foleni , kuna maeneo hata flyover zisingejengwa , barabara inatakiwa inyooke isiwe kona kona kama uchochoro. maeneo kama keko, karikoo , posta ni kituko tu , barabara ni nyembamba zinasababisha ajali na kupelekea vifo . na maanisha huo mradi kwenye hayo maeneo uondolewe.ibaki barabara ya 4*4 or 5*5.hata SGR ilipaswa kuishia Pugu na sio kufika mpaka Posta.
alafu baada ya hapo sasa wasomi wangefanya tathimi ya kuja na BRT , wasomi wangesema mabasi ya BRT yatatumia umeme(kupunguza cost of production) , ilikupunguza uchafuzi wa mazingira coz hili jiji lina msongamano kubwa wa shuguli za watu, pia majengo ya kupokea abiria yawe installed na solar panels ili ku store power za batters za mabasi. huu mradi ulipaswa kufanywa na wa Tanzania wenyewe kwa 100%.
hizi zote zingekuwa fursa kwa wasomi na vijana , sio kama ilivyo sasa tumekuwa saidia fundi kwenye huu mradi yani tushindwe kujenga barabara za zege na sehemu za kupokelea abiria , sasa umuhihmu wa kupata Uhuru na kuwa na wasomi uko wapi?.