Serikali ya Rais Magufuli ipo imara na haitishiwi na kelele za bungeni na mitandaoni

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Ndugu Wananchi napenda kuwajulisha kuwa Serikali ya Chama cha Mapinduzi inayoongozwa na DR Magufuli, Rais Mchapa kazi asiyependa figisufigisu, ipo imara zaidi kuliko unavyofikiria

Serikali Ya JPM haitishwi na wala haitakwamisha na kikundi kidogo cha watanzania ambao wanataka kuchafua hali ya hewa nchini kwa kuwatishia wananchi kwamba Serikali inatenda maovu kwa wananchi wake.

Serikali ya JPM haimuonei na wala haitamuonea mtu yeyote awe Mtanzania au sio Mtanzania hao wanaopiga kelele kuwa Serikali kupitia TISS inateka nakuwaonea wananchi wake hao ni wapiga dili na mawakala wa mafisadi ambao mianya yao ya RUshwa na ufisadi imezibwa na JPM.

Hao wabunge wanaotaka kuleta uchochezi bungeni ni mawakala wa mafisadi na wapiga dili ambao maswahiba wao dili zao za kukwepa kodi na kuuza madawa ya kulevya zimedhibitiwa ipasavyo.

CHini ya DR Magufuli nidhamu ya nchi lazima irejee na sasa naona nidhamu inarejea kuanzia kwa mawaziri hadi wabunge.
kama kuna Mbunge wa CCM haridhishwi na Uchapakazi na maamuzi ya Rais DR Magufuli aondoke haraka kwani kelele zake hazibadili msimamo wa Serikali wa kuifanya Tanzania Mpya yenye uchumi wa kati.

Wabunge wanapiga kelele, mitandao inapiga kelele lakini sisi tunaendelea kuwaletea maendeleo na kesho tunazindua ujenzi wa reli ya Kisasa na baada ya wiki moja tutawaambia Watanzania wake mkao wa kufaidi madini yao kwani kuna Matrilioni ya fedha yanaenda kupatikana kutokana na mchanga wa madini uliokuwa unatoroshwa.

Hata msiposhukuru maendeleo tutawaletea tu na mafisadi na wakwepa kodi awe waziri, mbunge au mwananchi wa kawaida atashughulikiwa tu.

Tanzania ya Viwanda kwanza Blablaaaaaa badae JPM piga kazi hata tubaki wawili tunaokushabikia kwasasa lakini ipo siku watakukumbuka.
 
Naunga mkono hoja 100%!!mheshimiwa achape kazi tu!!madawa hospitalini yapatikane kwa wakati,elimu bure iendelee,afungulie ajira,madai ya walimu yalipwe kwa asilimia kubwa,viwanda vianzishwe,nidhamu maofisi iendelee,asiruhusu rushes ndogo na kubwa !!haya yanatosha kabisa kwa mwananchi!!Bashe na wenzake wasitusumbue!!!
 
Mbona tupo wengi tuu tunaomkubali JPM, propaganda zilianzia kwenye njaa eti JPM alitakiwa kuutangazia ulimwengu kuwa kuna njaa.Kumbe wapiga dili walitaka kuingiza mahindi yasiyolipiwa kodi. Hadi leo hatujasikia mtanzania kafa kwa njaa badala yake mavuino ya mwaka huu ni record ya miaka kadhaa.sisi wakulima hatuna wasiwasi nchi iko salama, majizi ya mitaani yamedhibitiwa. maisha tambarare
 
Hivi bunge si ni sehemu ya serikali kwaiyo serikali inajipigia kelele yenyewe we tulia angalia movie na popcorn yako pembeni
 
Ndugu Wananchi napenda kuwajulisha kuwa Serikali ya Chama cha Mapinduzi inayoongozwa na DR Magufuli, Rais Mchapa kazi asiyependa figisufigisu, ipo imara zaidi kuliko unavyofikiria

Serikali Ya JPM haitishwi na wala haitakwamisha na kikundi kidogo cha watanzania ambao wanataka kuchafua hali ya hewa nchini kwa kuwatishia wananchi kwamba Serikali inatenda maovu kwa wananchi wake.

Serikali ya JPM haimuonei na wala haitamuonea mtu yeyote awe Mtanzania au sio Mtanzania hao wanaopiga kelele kuwa Serikali kupitia TISS inateka nakuwaonea wananchi wake hao ni wapiga dili na mawakala wa mafisadi ambao mianya yao ya RUshwa na ufisadi imezibwa na JPM.

Hao wabunge wanaotaka kuleta uchochezi bungeni ni mawakala wa mafisadi na wapiga dili ambao maswahiba wao dili zao za kukwepa kodi na kuuza madawa ya kulevya zimedhibitiwa ipasavyo.

CHini ya DR Magufuli nidhamu ya nchi lazima irejee na sasa naona nidhamu inarejea kuanzia kwa mawaziri hadi wabunge.
kama kuna Mbunge wa CCM haridhishwi na Uchapakazi na maamuzi ya Rais DR Magufuli aondoke haraka kwani kelele zake hazibadili msimamo wa Serikali wa kuifanya Tanzania Mpya yenye uchumi wa kati.

Wabunge wanapiga kelele, mitandao inapiga kelele lakini sisi tunaendelea kuwaletea maendeleo na kesho tunazindua ujenzi wa reli ya Kisasa na baada ya wiki moja tutawaambia Watanzania wake mkao wa kufaidi madini yao kwani kuna Matrilioni ya fedha yanaenda kupatikana kutokana na mchanga wa madini uliokuwa unatoroshwa.

Hata msiposhukuru maendeleo tutawaletea tu na mafisadi na wakwepa kodi awe waziri, mbunge au mwananchi wa kawaida atashughulikiwa tu.

Tanzania ya Viwanda kwanza Blablaaaaaa badae JPM piga kazi hata tubaki wawili tunaokushabikia kwasasa lakini ipo siku watakukumbuka.

Umesema ukweli: kelele zinazoendelea bungeni ni harakati za ccm waasi-ukawa-na wafanyabiashara wakubwa: mianya ya kupiga madili na ufisadi imezibwa na wengine vituo vyao vya mafuta wamevifunga kwa kuwa walizoea kuingiza nchini mafuta bila kulipa kodi - hawa wana hasira na ndio maana wamehamishia uchochezi bungeni: they will not succeed
 
Back
Top Bottom