Kuna yeyote mwenye taarifa alipo Dr Mihogo??Niwasalimu kwa jina la JMT..
Kuna dalili na kelele za watu hususani wapinzani uchwara kutaka Serikali ya Mseto kwa visingizio vya eti kuponya Nchi na kuleta maridhiano..
Binafsi siungi mkono kwa sababu hakuna hicho wanachosema mgawanyiko hapa Nchini. Hizi ni mbinu za wapinzani kutafuta asali na Wala sio kuwatumikia Wananchi.
Pia Serikali ya Mseto inasimamia nini zaidi ya migogoro na kutunishiana misuli? Tukatae huu uhuni.👇
View attachment 2273363View attachment 2273364
Mseto upi huo?Niwasalimu kwa jina la JMT..

Wanataka Bara pia.Mseto upi huo?
CDM Ina nguvu zenj?
Act Ina nguvu bara?
Wakubwa wanataka zibakie 2.
Tungepata 3 ingependeza.
Bt tukijadiliana hakipo kinachoshindikana. Amen
Ndomana mkiishi nchi zawatu wanawamiminia risasi punguza ujinga kwa uchaguzi 2020 na matokeo ya uchaguzi 2015 serikali mseto pia ijadiliwe kwa upana wake siasa za chadema nizakistaarabu kushinda pengine vyama vyote vya upinzani afrika na ulaya mashariki nadhani mnadhani chama hiki kitengeneze utaratibu wa umwagaji damuKwanza hakuna kitu kama serikali ya mseto kwa Tanganyika na sababu ya huo mseto haupo hata nyie mnaofikilia mseto ni mnataka kuja kutekeleza sera za mtu mwingine as kinachotokea Zanzibari kwa makamu wa kwanza wa Rais.
Hawawezi tenaSukuma gang bado mnaota ndoto za kuua na kutesa wapinzani kama alivyowazoesha.
Mama hataki hayo na wala hataki ushauri wenu. Kaeni pembeni, zama zenu zimepita.
Kama inawauma nendeni mkazikwe naye Chato.
..kuliponya taifa tunahitaji Tume ya Ukweli na Maridhiano.
..wote waliotendewa uovu au waliodhulumiwa na watawala wajulikane, wafidiwe, na kuombwa msamaha.
..walioshiriki kutenda uovu au dhuluma wasamehewe au wafikishwe mahakamani.
..Serikali ya mseto sio njia sahahi ya kuponya majeraha na makovu yaliyosababishwa na serikali zetu tangu Uhuru na Mapinduzi.
Amka tupo kwenye mchakato wa kuandaa KATIBA mpya Kwa mustakabali wa miaka 200 na zaidi ijayo. AmenSerikali ya mseto ilochaguliwa na nani na kwa katiba ipi?
Baada ya kikao Cha Dodoma umekuja kivingine kabisa.Niwasalimu kwa jina la JMT..
Kuna dalili na kelele za watu hususani wapinzani uchwara kutaka Serikali ya Mseto kwa visingizio vya eti kuponya Nchi na kuleta maridhiano....
Siungi mkono huu upuuziBaada ya kikao Cha Dodoma umekuja kivingine kabisa.
Bt Si vibaya, TANZANIA ni yetu sote. Amen
Siungi mkono huu upuuzi
Baada ya kupata KATIBA mpya 2026,Siungi mkono huu upuuzi
Katiba Mpya ni takwa la dola sio la CCM wala Mwenyekiti Wake!! CHADEMA na MBOWE wanatumiwa tu ku push ajenda hiyo! CCM imekubali yaishe!!!Siungi mkono huu upuuzi
Kifo cha cha CCM na CHADEMA kimewadia tutapata CHAMA kipya cha UMOJA kitakachotukwamua watz!!Nawasalimu kwa jina la JMT..
Kwa maslahi mapana ya Nchi na uwepo wa CCM,ni vyema ikubali uwepo wa Katiba mpya ila rasimu ya Warioba irekebishwe Ili kuwepo na kipengele cha Serikali ya Mseto kulingana na kura ambazo kila chama kitapata..
Hii itasaidia Sana kuwepo na uwajibikaji na kura ya haki,hii ya simple majority haifai na itaipoteza ccm mazima.
Kwani imekuaje mpk mwananchi wameandika hivi? Huu mseto unatoka wapi? Imekuaje? Kwa Katiba hipi?
Hakuna mwarabu wa kuzuia ndoto zetu ....ndoto zetu lazima zitimie ...shika sana haya maneno yangu ...na wahuni wote mtasaga menoSukuma gang bado mnaota ndoto za kuua na kutesa wapinzani kama alivyowazoesha.
Mama hataki hayo na wala hataki ushauri wenu. Kaeni pembeni, zama zenu zimepita.
Kama inawauma nendeni mkazikwe naye Chato.
Umeona mbaali ndugu.Nawasalimu kwa jina la JMT..
Kwa maslahi mapana ya Nchi na uwepo wa CCM,ni vyema ikubali uwepo wa Katiba mpya ila rasimu ya Warioba irekebishwe Ili kuwepo na kipengele cha Serikali ya Mseto kulingana na kura ambazo kila chama kitapata..
Hii itasaidia Sana kuwepo na uwajibikaji na kura ya haki,hii ya simple majority haifai na itaipoteza ccm mazima.
Labda kitatawala BurundiKifo cha cha CCM na CHADEMA kimewadia tutapata CHAMA kipya cha UMOJA kitakachotukwamua watz!!
Uwezi kuongelea swala la Mseto wakati kimsingi wapinzani wa nchii hii hata uchaguzi ukiwa wanavyotaka hawana uwezo wa kushinda majimbo hata 80 ya uchaguzi! Pamoja na kuwepo kwa kelele za uchaguzi kuibwa 2020 bado sijawai kushuhudia nguvu ya upinzani kutwaa majimbo hata 100 ya uchaguzi!
Hata mizania ikiwa sawa kweli wanaweza pata majimbo hata 100? Kweli wanaaminika kwenye box la kura? Nyakati za kampeni ni tofauti kabisa na nyakati za kupiga kura ...nyakati hizi ni tofauti kabisa kwa wapiga kura na huwa nafikra tofauti kabisa!
Serikali ya mseto sio huruma bali ni nguvu kwenye boksi la kura na ukweli ni kwamba bado wapinzani hawana nguvu ya kushawishi serikali ya mseto!