The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Mimi sio sukuma gang ila sioni haja ya kufurahisha wapinzani.Sukuma gang bado mnaota ndoto za kuua na kutesa wapinzani kama alivyowazoesha.
Mama hataki hayo na wala hataki ushauri wenu. Kaeni pembeni, zama zenu zimepita.
Kama inawauma nendeni mkazikwe naye Chato.
Viraka vitawekwaKwani imekuaje mpk mwananchi wameandika hivi? Huu mseto unatoka wapi? Imekuaje? Kwa Katiba hipi?
Akili za kimaskini hizi ...mtu kama huyu akikukuta bar unagonga Windhoek unakutumbulia macho kama msomali wa KajiadoNiwasalimu kwa jina la JMT..
Kuna dalili na kelele za watunhususani wapinzani uchwara kutaka Serikali ya Mseto kwa visingizio vya eti kuponya Nchi na kuleta maridhiano..
Binafsi siungi mkono kwa sababu hakuna hicho wanachosema mgawangiko hapa Nchini.Hizi ni mbinu za wapinzani kutafuta asali na Wala sio kuwatumikia Wananchi..
Pia Serikali ya Mseto inasimamia nini zaidi ya migogoro na kutunishiana misuli? Tukatae huu uhuni,.👇
Kabisa Mkuu huyu ni nasalia ya Kayafa Roho mbayaSukuma gang bado mnaota ndoto za kuua na kutesa wapinzani kama alivyowazoesha yule shetani wenu.
Mama hataki ushetani huo na wala hataki ushauri wenu. Kaeni pembeni,, zama zenu zimepita na shetani wenu yuko kuzimu.
Kqma inawauma nendeni mkazikwe naye Chato.
Mnaposema yawepo maridhiano ya kitaifa kwa ajili ya kuponya maumivu yaliyosababishwa na uovu na dhulma iliyofanyika hapa Nchini wengi wanadhani awamu ya tano pekee ndio iliyofanya hivyo kumbe hata kabla ya awamu ya tano kuingia madarakani uonevu na dhulma vilifanyika !!..kuliponya taifa tunahitaji Tume ya Ukweli na Maridhiano.
..wote waliotendewa uovu au waliodhulumiwa na watawala wajulikane, wafidiwe, na kuombwa msamaha.
..walioshiriki kutenda uovu au dhuluma wasamehewe au wafikishwe mahakamani.
..Serikali ya mseto sio njia sahahi ya kuponya majeraha na makovu yaliyosababishwa na serikali zetu tangu Uhuru na Mapinduzi.
Uwezi kuongelea swala la Mseto wakati kimsingi wapinzani wa nchii hii hata uchaguzi ukiwa wanavyotaka hawana uwezo wa kushinda majimbo hata 80 ya uchaguzi! Pamoja na kuwepo kwa kelele za uchaguzi kuibwa 2020 bado sijawai kushuhudia nguvu ya upinzani kutwaa majimbo hata 100 ya uchaguzi!
Hata mizania ikiwa sawa kweli wanaweza pata majimbo hata 100? Kweli wanaaminika kwenye box la kura? Nyakati za kampeni ni tofauti kabisa na nyakati za kupiga kura ...nyakati hizi ni tofauti kabisa kwa wapiga kura na huwa nafikra tofauti kabisa!
Serikali ya mseto sio huruma bali ni nguvu kwenye boksi la kura na ukweli ni kwamba bado wapinzani hawana nguvu ya kushawishi serikali ya mseto!
Mnaposema yawepo maridhiano ya kitaifa kwa ajili ya kuponya maumivu yaliyosababishwa na uovu na dhulma iliyofanyika hapa Nchini wengi wanadhani awamu ya tano pekee ndio iliyofanya hivyo kumbe hata kabla ya awamu ya tano kuingia madarakani uonevu na dhulma vilifanyika !!
Mambo ya Sihasa hayo !! Waswahili wanasemaga Kikulacho ki-nguoni mwako !! Ukiona nyumbani hakueleweki eleweki sio mbaya kutaka msaada kidogo kutoka kwa jirani !! Maana jirani naye ni ndugu pia !! Na anaweza kuwa na msaada mkubwa zaidi kuliko ndugu wa kuzaliwa naye !!Kwani imekuaje mpk mwananchi wameandika hivi? Huu mseto unatoka wapi? Imekuaje? Kwa Katiba hipi?
Tunakumbushia tu kwamba na sisi wa kabla ya awamu ya tano tusisahauliwe katika hayo maridhiano !! Maana wengine majeraha yetu hayajapona mpaka hivi sasa !!Unaamini kabisa hatujui tofauti ya hizo awamu, au unadhani tuna ubongo mdogo kiasi kwamba tumesahau uhayawani uliofanyika awamu ya tano?
Tunakumbushia tu kwamba na sisi wa kabla ya awamu ya tano tusisahauliwe katika hayo maridhiano !! Maana wengine majeraha yetu hayajapona mpaka hivi sasa !!
Mkuu Suluba nilizozipata ni katika mapambano kama haya haya !! Ya kukataa uonevu !! Mimi sio wa kusubiri nipambaniwe !! Ni angalizo tu kwamba na sisi wa kabla ya awamu ya tano bado tupo !!Mkuu unasubiri watu wakupambanie? We hata kama umeonewa enzi za mkoloni au awamu ya kwanza paza sauti, sio ukae mahali ukisubiri watu wakupambanie kisha uitwe.
Kwa hii CCM ?Niwasalimu kwa jina la JMT..
Kuna dalili na kelele za watunhususani wapinzani uchwara kutaka Serikali ya Mseto kwa visingizio vya eti kuponya Nchi na kuleta maridhiano..
Binafsi siungi mkono kwa sababu hakuna hicho wanachosema mgawangiko hapa Nchini.Hizi ni mbinu za wapinzani kutafuta asali na Wala sio kuwatumikia Wananchi..
Pia Serikali ya Mseto inasimamia nini zaidi ya migogoro na kutunishiana misuli? Tukatae huu uhuni,.👇
Watu makini wanaona act kinapewa nguvu Eti.Niwasalimu kwa jina la JMT..
Kuna dalili na kelele za watu hususani wapinzani uchwara kutaka Serikali ya Mseto kwa visingizio vya eti kuponya Nchi na kuleta maridhiano..
Binafsi siungi mkono kwa sababu hakuna hicho wanachosema mgawanyiko hapa Nchini. Hizi ni mbinu za wapinzani kutafuta asali na Wala sio kuwatumikia Wananchi.
Pia Serikali ya Mseto inasimamia nini zaidi ya migogoro na kutunishiana misuli? Tukatae huu uhuni.👇
View attachment 2273363View attachment 2273364