Serikali ya Mkoa Mwanza jengeni ofisi ya Manispaa Ilemela

Mwandwanga

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,059
1,569
Habari wanaBodi

Leo nilikuwa katika kufuatilia vibali vya kufanya shughuli zangu katika jiji la Mwanza wilaya ya Ilemela.

Nimepigwa na butwaa kukuta ofisi za manispaa zipo kwenye ofisi ya Afisa Mtendaji kata ya Nyakato na jengo la Zahanati ya Nyakato ambazo ni jirani kabisa na ofisi za kata baadhi ya vyumba vimechukuliwa kwa matumizi ya wilaya.

Jengo limekuwa overcrowded vibaya mno.

Hebu fanyeni mchakato kulifanya jiji lifananie.
 
Wazungu wanasema mji wa Roma haukujengwa siku moja! Vuta subira,lipa kodi stahiki ili wapate kianzio cha kujenga hizo ofisi katika kipindi hiki cha HAPAKAZITU!
 
Back
Top Bottom