kichwabaya
Member
- Feb 20, 2013
- 76
- 4
wameiba adi ukokoSerikali ya Kikwete ni balaa … ebu angalia ofisi ya wakala wa manunuzi serikalini (GPS) mkoa wa Kagera kwa zaidi ya wiki tatu sasa imekatiwa maji kutokana deni la zaidi ya shilingi 35,000.
Kutokana na jengo hilo lenye ofisi mbalimbali za serikali na binafsi, kukatiwa maji, kwa sasa wapangaji hawana mahali pa kujisaidia baada ya vyoo vinavyotumia maji kukosa huduma hiyo.
sasa sie jf tuwasaidieje kila mtu akanye kwake
Jamani hata hili linahitaji intervention ya President au Central Government?
hivi kweli wanarudishwaga??au changa la macho?ha haa.....una roho mbaya wewe...ushauri wangu watafute mzabuni awalipie hiyo 35,000/-afu wao waje wamlipe 105,000/-,mimi ningewapelekea hela lakini nimechoka mbaya nipo kihansi napokea vyura wetu kutoka marekani!
hivi kweli wanarudishwaga??au changa la macho?
wanarudishwa ndugu lakini waliorudishwa wote wazee karibia watakufa,sijauliza kama wamefungiwa kizazi sababu sijaona watoto,ukumbuke hili tumeweka rekodi Dunia nzima hakuna nchi iliyowahi fanya hivo,tunastahili kujipongeza kwakweli!
Duh! nimependa hiyo....we nomaha haa.....una roho mbaya wewe...ushauri wangu watafute mzabuni awalipie hiyo 35,000/-afu wao waje wamlipe 105,000/-,mimi ningewapelekea hela lakini nimechoka mbaya nipo kihansi napokea vyura wetu kutoka marekani!
Historia ya kijinga. Dah kweli wabongo empty head