Kwa kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania alijiuzulu kwa tuhuma za Richmond, na kwa kuwa huyo mtuhumiwa kutoka wakati huo hakuwahi kufikishwa mahakamani, na kwa kuwa inasemekana alikatwa jina kwaajili ya tuhuma hiyo, napendekeza Serikali ya Kikwete imfungulie mashitaka na kumpeleka mahakamani kwa tuhuma tajwa.
Kinyume chake kuanzia leo ifahamike kuwa Lowasa yuko safi: wachafu walijificha chini ya mwavuli wake.
Na ikiwa hali ndiyo hiyo, basi wamwache mzee wa watu aonje Urais wa JMT chini ya mwavuli wa UKAWA/CHADEMA ingawa nadhani hajawahi hata kuota maishani kuwa angeiacha CCM iliyomlea na kumfikisha hapo alipo.
Ni kwa sababu hiyo Mkuu nasema basi wamwache Lowasa huru, kinyume chake bosi wake wa wakati huo awajibike.Wengi hamfwatilii mambo... kesi ya Richmond iliwahi pelekwa mahakamani ila ktk mazingira ya Utata mshirika wa JK ktk kuileta hii kampuni nchini bwana Naeem Gire aliachiwa HURU!!!
CCM HAWANA UBAVU WA KUONGELEA WALA KUKEMEA UFISADI....
Mkuu unadhani JK atasalimika?Kwa kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania alijiuzulu kwa tuhuma za Richmond hakuwahi kufikishwa mahakamani, na kwa kuwa inasemekana alikatwa jina kwa ajili ya tuhuma hiyo alipotaka kurusha kete kunia Urais wa JMT, napendekeza Serikali ya Kikwete imfungulie mashitaka na kumpeleka mahakamani mara moja kwa tuhuma tajwa.
Kinyume chake kuanzia leo ifahamike kuwa Lowasa yuko safi: wachafu wanajijua na walijificha chini ya mwavuli wa Lowasa.
Na ikiwa hali ndiyo hiyo, basi wamwache mzee wa watu aonje Urais wa JMT chini ya mwavuli wa UKAWA/CHADEMA ingawa nadhani hajawahi hata kuota maishani kuwa angeiacha CCM iliyomlea na kumfikisha hapo alipo.
Kwa kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania alijiuzulu kwa tuhuma za Richmond hakuwahi kufikishwa mahakamani, na kwa kuwa inasemekana alikatwa jina kwa ajili ya tuhuma hiyo alipotaka kurusha kete kunia Urais wa JMT, napendekeza Serikali ya Kikwete imfungulie mashitaka na kumpeleka mahakamani mara moja kwa tuhuma tajwa.
Kinyume chake kuanzia leo ifahamike kuwa Lowasa yuko safi: wachafu wanajijua na walijificha chini ya mwavuli wa Lowasa.
Na ikiwa hali ndiyo hiyo, basi wamwache mzee wa watu aonje Urais wa JMT chini ya mwavuli wa UKAWA/CHADEMA ingawa nadhani hajawahi hata kuota maishani kuwa angeiacha CCM iliyomlea na kumfikisha hapo alipo.
Escrow je?? Na EPAJk ndo jambazi wa richmond
Lowasa safi
RICHMOND NI MAAGIZO KUTOKA NGAZI ZA JUU alipewa mamlaka na mkuu wa nchi na alimwambia asiache kusaini mkataba ule