The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Mimi nasema maendeleo hayana chama.Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango.
Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati.
Jana mjomba wangu kanipigia sim analalamika serikali ya kijiji imevamia kwake na kuchukua jembe la kukokota na ng'ombe pamoja na ng'ombe kadhaa hadi alipe michango ya ujenzi wa madarasa ya sekondari. Alipowauliza mbona elimu ni bure wakamtishia kua watamfungulia mashtaka ya kugoma kushiriki maendeleo.
Watu wenye upeo mkubwa na akili kubwa, tunaoona vitu njia ya tofauti tulisema toka mwanzo, uongozi ni karama, majigambo na sifa za kununua ndege cash na maflyovers havina maana kama bado hatujatengeneza namna ya kuwaondoa watu kwenye umasikini.
Huku tunaambiwa elimu bure huku wanakijiji wanakamuliwa michango huku serikali inatumia hela nyingi kutafta sifa za kuungwa mkono na kupongeza.
Kawekwa na nani???? Kawekwa na Lubuva tuMimi nasema maendeleo hayana chama.
Tanzania itajengwa nasi sote.
Hapa hakuna mtu kukimbia tubaki hapahapa mpaka kieleweke. Si tumemuweka wenyewe huyu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango.
Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati.
Jana mjomba wangu kanipigia sim analalamika serikali ya kijiji imevamia kwake na kuchukua jembe la kukokota na ng'ombe pamoja na ng'ombe kadhaa hadi alipe michango ya ujenzi wa madarasa ya sekondari. Alipowauliza mbona elimu ni bure wakamtishia kua watamfungulia mashtaka ya kugoma kushiriki maendeleo.
Watu wenye upeo mkubwa na akili kubwa, tunaoona vitu njia ya tofauti tulisema toka mwanzo, uongozi ni karama, majigambo na sifa za kununua ndege cash na maflyovers havina maana kama bado hatujatengeneza namna ya kuwaondoa watu kwenye umasikini.
Huku tunaambiwa elimu bure huku wanakijiji wanakamuliwa michango huku serikali inatumia hela nyingi kutafta sifa za kuungwa mkono na kupongeza.
Ww umemsadiaje sasa ?Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango.
Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati.
Jana mjomba wangu kanipigia sim analalamika serikali ya kijiji imevamia kwake na kuchukua jembe la kukokota na ng'ombe pamoja na ng'ombe kadhaa hadi alipe michango ya ujenzi wa madarasa ya sekondari. Alipowauliza mbona elimu ni bure wakamtishia kua watamfungulia mashtaka ya kugoma kushiriki maendeleo.
Watu wenye upeo mkubwa na akili kubwa, tunaoona vitu njia ya tofauti tulisema toka mwanzo, uongozi ni karama, majigambo na sifa za kununua ndege cash na maflyovers havina maana kama bado hatujatengeneza namna ya kuwaondoa watu kwenye umasikini.
Huku tunaambiwa elimu bure huku wanakijiji wanakamuliwa michango huku serikali inatumia hela nyingi kutafta sifa za kuungwa mkono na kupongeza.
Kwenye kuchangia ujenzi wa madarasa ya shule ili watoto wetu wasome vizuri hilo halina ubaya na jukumu la kila mmoja kwakua SERIKALI haiwezitosheleza kila kitu. Hakuna kitu cha bure duniani lazima uingie gharama japo kidogo.Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango.
Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati.
Jana mjomba wangu kanipigia sim analalamika serikali ya kijiji imevamia kwake na kuchukua jembe la kukokota na ng'ombe pamoja na ng'ombe kadhaa hadi alipe michango ya ujenzi wa madarasa ya sekondari. Alipowauliza mbona elimu ni bure wakamtishia kua watamfungulia mashtaka ya kugoma kushiriki maendeleo.
Watu wenye upeo mkubwa na akili kubwa, tunaoona vitu njia ya tofauti tulisema toka mwanzo, uongozi ni karama, majigambo na sifa za kununua ndege cash na maflyovers havina maana kama bado hatujatengeneza namna ya kuwaondoa watu kwenye umasikini.
Huku tunaambiwa elimu bure huku wanakijiji wanakamuliwa michango huku serikali inatumia hela nyingi kutafta sifa za kuungwa mkono na kupongeza.
Ndiye aliyepo sasa hata aliwekwa na buluva au vuluba haisaidii kitu. Yupo na bado yupoyupo sanaKawekwa na nani???? Kawekwa na Lubuva tu
Lakini elimu ni bure. Mnataka mjomba wake achangie nn tena?Huyo mjomba wako ni mkorofi kama anaenda kinyume na matakwa ya kijiji