The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,295
- 16,997
Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango.
Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati.
Jana mjomba wangu kanipigia sim analalamika serikali ya kijiji imevamia kwake na kuchukua jembe la kukokota na ng'ombe pamoja na ng'ombe kadhaa hadi alipe michango ya ujenzi wa madarasa ya sekondari. Alipowauliza mbona elimu ni bure wakamtishia kua watamfungulia mashtaka ya kugoma kushiriki maendeleo.
Watu wenye upeo mkubwa na akili kubwa, tunaoona vitu njia ya tofauti tulisema toka mwanzo, uongozi ni karama, majigambo na sifa za kununua ndege cash na maflyovers havina maana kama bado hatujatengeneza namna ya kuwaondoa watu kwenye umasikini.
Huku tunaambiwa elimu bure huku wanakijiji wanakamuliwa michango huku serikali inatumia hela nyingi kutafta sifa za kuungwa mkono na kupongeza.