Serikali ya ccm imefulia??

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
2,193
Reaction score
1,441
Hadi jioni hii (6:30PM tarehe 2/5/2011) watumishi wa serikali wa JMT hawajapata mishahara yao na mbaya zaidi hakuna maelezo yoyote ya kiofisi (official press release) kwamba what happened? Je, serikali yetu imefulia? Normally mishahara wa watumishi hawa hutoka kati ya tarehe 20 na 24 ya kila mwezi.
 
Poleni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…