Serikali wakumbukeni Barega

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,502
Reaction score
8,690
Bila shaka wakati wa kuomba kura mlifika berega, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro hivi hamuoni tatizo la Daraja walilonalo wakazi wa berega,

Hivi hamuoni tatizo la hospitali walilo nalo wakazi wa berega

Ipo hospitali ya Berega mission inayomilikiwa Na kanisa la lutheran lakini gharama za hospitali hii si rafiki hata kidogo gharama ni kubwa mno

Pia katika eneo hili kuna shule ya bweni wasichana mgugu na kwa kweli ni moja ya shule chache serikali zinazofanya vizuri mno hawa watoto wanateseka mno pindi wanapoumwa kwani walimu mara nyingi wanashindwa kuwapekeka hospitali ya berega mission watoto hawa kwa kuwa gharama ni kubwa mno kulazwa siku moja kwa malaria na uti ( ndio magonjwa maarufu kwao) sia ajabu ukapewa bili ya 150k

Wasaidieni wananchi hawa ni wajibu wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…