Another programmed robot who can't think for himself crawling out of his hole.It looks to me that CCM have kept a lot of brainless zombies who think and talk in the manner CCM crooks want them to.What a piece of ----!!!!
.
Tanzania kwa mujibu wa muasisi wa nchi na katiba yake ni nchi ya ujamaa na kujitegemea.
Je ciciem intarahamwe walivyo anzisha azimio la Zanzibar dhidi ya lile la nyerere Arusha, kwa ubebari na kujilimbukizia mali za wizi, ni majaribio au?
.
Unafikiri kwa kutumia nini ati! TBC wamekunyonya akili. Au ndo tukubali kwamba baada ya Nyerere kufa kaondoka na akili za CCM hawawezi tena kutumia akili zao kwamba kama jambo hakuwahi kufanya Nyerere ccm hawawezi kufanya.