Serikali tatu haiwezekani

Serikali tatu haiwezekani

Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.

Thread za weekend watu na viroba na stress zao, sasa hapa umeandika nini? kwa nini serikari tatu haiwezekani?
 
serkali 3 ni ndoto mi nashangaa sana baadhi ya wa-bara wenzangu wanashabikia masuala ya srekali 3 bila kufikiria na wanafanya hivyo ili tu kuwaridhisha wa pemba na waarabu bila kujua ni mtego kiasi gani wanajiingiza kwenye pango a simba inabidi tufikirie wa-bara wote tuwe wamoja kwenye suala hili,tukigawanyika bila mantiki ni ahisi sana kuwakatisha tamaa ndugu zetu wa unguja ambao kiuhalisia ni wabara na kuwafanya na wao wabadili mtazamo wao.tusiwe na mawazo kama yale ya warioba ya kutaka kuwaridhisha wa2 wengine wafurahi wakati anajiumiza mwenyewe.

wewe unataka ngapi sababu umemlaumu warioba wkt warioba alikusanya maoni hakujifungia pale Ohio street nakutunga rasimu.pili unataka udikteta au utawala wa demokrasia sababu siku zote wengi wape.au tuendelee kutumia ya mwala 77?wewe kweli hata ktk familia yako na wasiwasi kama demokrasia ipo ukishaamua umeamua.
 
wewe ni nani kwenye hii nchi kama sio kidampa. unatoa hoja halafu huonyeshi ushahidi kwanini haiwezekani

Jina lako la aka linaonyesha wewe ni mchaga na bila shaka ni mmoja kati ya wale dizaini za walioba wanaotaka kuridhisha wengine wakati wenyewe wanajiumiza,pole sana,ushahidi uanoutaka sijui ni upi sasa mana choko choko za waarabu kwenye muungano wa sasa huzioni? oman mafuta yanakaribia kwisha wanataka sehemu nyingine ndo mana unaona wanawasapoti watoto wa watumwa kama kina sefu na wenzake na wewe mmarangu unasapoti kabisa bila sha IQ yako ni ndogo sana,mimi ushauri wangu unguja ambao ni wabara wanataka muungano wa serkali 2 lakini wapinzani wakubwa ni wapemba sasa basi kama wao wanataka kujitenga basi wajitenge watengeneze serkali yao ya pemba,na huku kwetu wapemba wote tuwafukuze warudi kwao kama vile bashir alivyowafukuza wa s.sudan wote.
 
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.

Serikali 2 HAIWEZEKANI.
 
jina lako la aka linaonyesha wewe ni mchaga na bila shaka ni mmoja kati ya wale dizaini za walioba wanaotaka kuridhisha wengine wakati wenyewe wanajiumiza,pole sana,ushahidi uanoutaka sijui ni upi sasa mana choko choko za waarabu kwenye muungano wa sasa huzioni? Oman mafuta yanakaribia kwisha wanataka sehemu nyingine ndo mana unaona wanawasapoti watoto wa watumwa kama kina sefu na wenzake na wewe mmarangu unasapoti kabisa bila sha iq yako ni ndogo sana,mimi ushauri wangu unguja ambao ni wabara wanataka muungano wa serkali 2 lakini wapinzani wakubwa ni wapemba sasa basi kama wao wanataka kujitenga basi wajitenge watengeneze serkali yao ya pemba,na huku kwetu wapemba wote tuwafukuze warudi kwao kama vile bashir alivyowafukuza wa s.sudan wote.

pole sana kwa mtazamo hasi kama huo!
Ukweli mmbara abaki na bara yake na mzanzibari naye apate zanzibar yake tuunganishwe na serikali ya tatu ya muungno tu ,vinginevyo nchi hii itakuja kufikia pabaya.
 
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
HAYA Na wewe amka, maaana unaota unaota
 
mleta mada anasumbuliwa na viroba,watz wanataka serikali 3 ova!!! hizo 2 peleka kwenu!!!
 
hata mie napenda serikali moja imara,kama sio hivyo basi serikali 3 ndo suluhisho,aiingii akilini zanzibar kuwa na bendera,wimbo wa taifa,katiba,rais wake,mipaka na mengine mengi,huku watanganyika tumemezwa na muungano,ikishindikana serikali moja basi tuwe na 3 hizi zote zikigoma basi hakuna haja ya muungano ni bora uvunjike kila mmoja ashike zake hamsini.
 
i support the idea,wazanzibari hawajui kama kila kitu wanatoa huku,afu wajidai,eti nchi,piga kando twende na tanzanyika yetu
 
Tatizo ccm bara inaogopa kusema serikali moja mbele ya wazanzibar, sijui ni kwa nini

Kumbe hamuijui sababu ,sawa ,sababu ni hii vile viccm vya Zanzibar vinajua fika kuwa serikali moja watapotea na kupoteza thamani yao na wananchi wengi wanawapenda viongozi wa CUF ,sasa kwa kutiwa adabu hawa ving'ang'anizi wananchi watawatenga na kuwambia nendeni handeni mkagombee kwani sasa ni serikali moja nchi moja no more serikali ya mapinduzi.
 
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.
Ili kukusaidia kutafakari naomba nikuulize swali moja tu. Kikwete ni Rais wa nchi ipi? Ukinijibu nitapata pahala pa kukufahamisha kuwa tuna serikali mbili ya Zanzibar na Tanganyika yenye mgeni anayejiita Serikali ya jamhuri ya (muungano) wa Tanzania. Kwa sasa inatakiwa mgeni atoke chumbani aonekane.
 
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.

Watanzania walio wengi wameshaamua kuwa mungano wanaoutaka ni mungano wa serikali tatu,binafisi naona hilo ndio jambo la kujadiliwa ikija katika suala la muundo wa mungano,wabunge wakae na kuanza kujadili vipi hizo serikali tatu sitaundwa,je zitakuwa na raisi watatu,je kutakuwa na raisi mmoja na magavana,je...........

Mimi sio mwanasiasa lakini nashangaa kuona kuwa wabunge vip wanavyopoyeza muda wao kujadili kitu ambacho kimeshajadiliwa na walio
 
Jina lako la aka linaonyesha wewe ni mchaga na bila shaka ni mmoja kati ya wale dizaini za walioba wanaotaka kuridhisha wengine wakati wenyewe wanajiumiza,pole sana,ushahidi uanoutaka sijui ni upi sasa mana choko choko za waarabu kwenye muungano wa sasa huzioni? oman mafuta yanakaribia kwisha wanataka sehemu nyingine ndo mana unaona wanawasapoti watoto wa watumwa kama kina sefu na wenzake na wewe mmarangu unasapoti kabisa bila sha IQ yako ni ndogo sana,mimi ushauri wangu unguja ambao ni wabara wanataka muungano wa serkali 2 lakini wapinzani wakubwa ni wapemba sasa basi kama wao wanataka kujitenga basi wajitenge watengeneze serkali yao ya pemba,na huku kwetu wapemba wote tuwafukuze warudi kwao kama vile bashir alivyowafukuza wa s.sudan wote.

mkuu hujafuata mtiririko tulipoanzia mimi ni muumini wa serikali tatu sitaki kusikia habari ya zanziba hapa,nacholumbana naye ni kwamba wanzazibar wamehodhi maeneo ya viwanja huku tanganyika halafu sisi bara hatuna mamlaka ya kumiliki kwao mosi bado tunangangania muungano wakati wanaofaidika ni zanzibar nadhani umenielewa we kenge maji mwenye ubongo wa samaki usipende kukuta wanaume wanazungumza hujui wameanzia wapi unatoka jikoni kupika unavamia mazungumzo
 
Katika rasimu hii hii ya katiba mfumo wa serkali 3 hauwezekani na yeyote anayejiona kuwa ni lazima iwepo basi bila shaka anaota na mi binafsi naona ni bora tu angeamka toka katika usingizi wake mana anajipotezea muda wake,hizo njama za kuvunja muungano tumeshazishtukia hazikubaliki.

Unajua ndugu yangu hapo ndio utaona kwa vipi serikali hii inavyojitia uzezeta usiokuwa nao. Ni serikali inayokimbia kivuli cha ukweli. Na sasa naona hata hao wabunge wa BLK na serikali nzima wamekuwa wanafiki na ni watu wanaokimbia dhana ya ukweli mzima juu ya hoja ya Muungano.

Kwani kama kweli tumeadhimia kwa dhati kuuenzi na kuendeleza muungano basi ukweli wanao ukimbia ni jawabu rahisi sana nalo ni SERIKALI MOJA, NCHI MOJA. RAIS MMOJA na TANZANIA MOJA.

Watanzania wanapaswa kujiuliza kwa nini hawa Wabunge wa BLK walikusanyika Dodoma wamekazana kujadili serikali mbili na tatu tu? Why not one? Na kwa nini hoja ya serikali moja wanaikwepa? Na waikwepa ili iweje au wanaficha nini?
 
naungana na watu wanaounga muungano wa serikali moja au 3 wa 2 wanatudanganya na ingekuwa ya tanganyika na zanziba
 
serikali 3 itawezekana tu mpende msipende.

Back
Top Bottom