Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Wajumbe wamependekeza uwepo wa Makamu wa Rais watatu. Wa kwanza ni yud ambaye anatokana na Mgombea Mwenza wa Jamhuri ya Muungano. Wa pili ni Rais wa Zanzibar ambaye atakuwa Makamu wa Pili wa Rais. Na wa tatu ni Makamu wa Tatu wa Rais ambaye ndiye atakayekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Bara.
Sasa CCM inabisha kuhusu nini? Kuna raha gani kubebesha vyeo vingi kwa mtu mmoja? Ubishi mwingine ni usanii tu.
Chanzo: Mwananchi
Sasa CCM inabisha kuhusu nini? Kuna raha gani kubebesha vyeo vingi kwa mtu mmoja? Ubishi mwingine ni usanii tu.
Chanzo: Mwananchi