Serikali siyo Taifa

lanaforge

Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
53
Reaction score
13
Wale watu ( TIS) wanaitwa Usalama wa Taifa lakini kazi yao zaidi ni kuwalinda viongozi wa Serikali.
Ingekuwa sahihi zaidi wangeitwa Usalama wa Serikali.
Serikali siyo Taifa. Mtu anaweza kuwa adui wa Serikali na asiwe adui wa Taifa.
Hata Saddam Hussein aliwaambia Wamarekani kwamba hana ugomvi na raia wa Marekani ila ana mgogoro na Bush White House.
Andrew Nyerere nimerudi. Good evening everyone
 
Pole sana wapo...ambao kazi yao ni kumrinda rais ili siri zake zisivuje, na siri hizo mara nyingi zinalindwa ili zisilete mtikisiko kwenye serikali, ulinzi wa mtu mmoja mmoja wameachiwa POLISU.,.Ila wazee wakazi watakusanya data watazitafsiri watashirikiana na wanausalama wengine kisha amani inatafutwa
 
serikali siyo taifa lkn serikali inaendesha taifa!

Mkuu TISS unaijua vyema mpk useme inalinda viongozi wa serikali tu..?
 
Serikali ya wenye nayo japo tunadanganywa kuwa viongozi wameajiriwa na wananchi, lakini viongozi hao hao wanajiondoa kwenye mikataba ya kuendesha serikali kwa uwazi ili wananchi wajue nini kinafanyika.
Ukiuliza kama wanachofanya ni sawa kwanini waogope mpaka watake kuficha? Majibu yao hayaeleweki na ni ya kibabe na wanapanic...
Kweli usimuamini mwanasiasa hata kwa utani utani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…