Serikali sikivu, Mgao wa umeme Dodoma

Serikali sikivu, Mgao wa umeme Dodoma

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,671
Reaction score
940
Wakuu tangu nitue hapa katikati ya nchi nimeshuhudia hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara na kipindi hiki ni masika je wakuu kuna mtu anatarifa yeyote kuhusiana na tatizo hili katika mkoa huu??
 
huku mbagala(dsm) kuna eneo lep ni siku ya nne umemehauna nguvu unawaka na kuzimika.
ukiwapigia emergency unit wanasema mafundi wapo njiani.
sasa sijui mpaka leo hii wako wapi maana bado hawajafika.
 
Jana umekatika Nkuhungu saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni
 
Hata mwanza nahisi kuna mgao, juzi umekatika siku nzima jana ukawepo nleo saa tatu asbh wamekata
 
Taarifa kutoka kahama pia zinasema hakuna umeme tangu usiku.
 
Leo umekatika Kisasa toka saa tatu asubuhi, labda ndio mpaka jioni tena. Enyi serikali sikivu msitufanyie hivi sisi wananchi wenu.
 
Umeme umekatika tena kwa mara ya pili mfululizo dom city
Kuna nn jamani????
 
Back
Top Bottom