COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Kwa jinsi serikali inavyopata kigugumizi cha kutoa ajira kwa vijana, nashauri wapeleke muswada bungeni ili umri wa kustaafu uwe miaka 50 ( kwa hiari ) na miaka 55 (kwa lazima ) ili wapate nafasi nyingi za kuajiri vijana.
Pia yale masharti ya kukata asilimia ya mafao myaondoe ili watu wachukue vyao mapema wawaachie nafasi muajiri SERENGETI BOYS.
Ni hayo tu kwa leo.
Pia yale masharti ya kukata asilimia ya mafao myaondoe ili watu wachukue vyao mapema wawaachie nafasi muajiri SERENGETI BOYS.
Ni hayo tu kwa leo.