Serikali pigeni marufuku hizi local betting machine za kichina zitawamaliza vijana.

Haya madude kuna watu uwaambii kitu aseee!.

Asilimia kubwa wamiliki wake ni wachina flani hivi, wameyasambaza mikoa mingi sana na juzi juzi nimepishana nao Arusha maeneo ya shivaz wakiwa na Krugger yao nyeusi wakila bata.

Wakiwa wamebeba sarafu walizokusanya kwenye hizo machine krugger unaiona imelala daaaa..!!
 
wanayavunja mpaka lina gawika hilo.
Kama wanaweza kuligawanyisha kwa nyundo tu ina maana hata masanduku maalum ya fedha wanaweza kuyavunja? Acha utani ndugu.

Nimeshashuhudia hayo madude matatu yametelekezwa tu bila kufunguka. Yana spots kibao za kuchomea mixer nyundo na tindo ila bado yalikuwa ngangari. Hayo yanayopasuka labda copy.
 
Kitu dubwi hio kudadeki na wachina wana klugger/harrier nyeusi nchi nzima hadi uende kasulu huko wapo....wabongo tunavyopenda slope
 
Sasa hivyo nenda mkoa wa PWANI Ndio utavioana kila kwenye frem tatu basi hicho kipo, wanakiita "BIBI KIZEE"
 
Kluger Nyeusi DM...
Ila sidhani kama yanaibika hata ukiiba utasumbuka maana watakudaka nalo
 
Pote wanatumia magari hayo hayo.....mida flani nilikuaga shagz huko wamekuja kukusanya Mapato yao wakaona ndinga yangu walitoka nduki walijua wamwela wamekuja kuwatibulia
Kitu dubwi hio kudadeki na wachina wana klugger/harrier nyeusi nchi nzima hadi uende kasulu huko wapo....wabongo tunavyopenda slope
 
Back
Top Bottom