The Bliss
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 213
- 435
- Thread starter
- #21
Very sadKatika hali ya kupunguza makali ya kikundi hicho (serikali), ukabuniwa utaratibu wa wananchi kujilinda kupitia wawakilishi wao (bunge), na pia wengine wadhibiti kwa kuamua tu haki ya wananchi ni hiii.
Hata hivyo, hali huwa mbaya zaidi inapotokea kwamba wale wawakilishi na waamuzi wa haki, kwa ujinga wao au nia ovu huungana na serikali kumdhibiti mwananchi.