MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,776
- 2,038
Habarini jf! Kwaniaba ya vijana wezangu wanaoamini kuwa "vijana ndio kundi pekee linaloweza kuchangia % kubwa katika mabadiliko chanya ya maendeleo ya jamii" Sahivi nchi inaconcentrate na siasa kila wakati,Mnatuvunja moyo sana sisi vijana.Hiviiiii mnafikiri hatuoni aibu jinsi vijana wenzetu hko duniani wanavyozidi kuushangaza ulimwengu kwa innovations wanazofanya.YANI SISI HUKU KILA SIKU VITUKO TU NDO VINASIKIKA KWA WENZETU.NAMAANISHA MNATUDISTURB,MNATUHARIBIA CONCENTRATION KUUMIZA VICHWA,NYIE MLIUMIZA VICHWA ZAMU YENU IMEPITA NDIO MATOKEO YENU TUNAYAONA SASA.This is too much sasa,taifa haliishiwi skendo Mara ooh ufisad,njaaaa,madawa,yan kla Mwaka agenda za taifa hili si za kjenga ukiachilia mbali na ya viwanda.Mnatuchanganya bhana