SERIKALI NA CCM WANA LISSU-PHOBIA?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,466
Reaction score
42,588
Juzi tu hapa ccm walikuwa wanamsema MBOWE anajifanya anataka katiba mpya wakati yeye ameshindwa kuondoka madarakani Toka uchaguzi wa 1995 ni ajabu leo hii ccm imegeuka kuwa mtetezi wa mbowe swali langu je ccm na serikali yake Wana LISSU-PHOBIA?
 
Moderators naomba msifute nyuzi zangu.
 
Reactions: G4N
CHADEMA mkilogwa mkampa mboye kura mjue manyanyaso ya ku overstay kwenye power kutoka kwa Wana ccm yanawahusu.
 
Reactions: G4N
Mmmh!!!! Xxsxshipsixnyooo= kiebrania😜
Pwagu na pwaguzi🤣🤣🤣
Hayupo mwenye afadhari.
Bora tusake Hela tu.
.....
 
Reactions: G4N
Ccm njia pekee ya ku mu win lissu ni kumpenda basi.
 
Reactions: G4N
Juzi tu hapa ccm walikuwa wanamsema MBOWE anajifanya anataka katiba mpya wakati yeye ameshindwa kuondoka madarakani Toka uchaguzi wa 1995 ni ajabu leo hii ccm imegeuka kuwa mtetezi wa mbowe swali langu je ccm na serikali yake Wana LISSU-PHOBIA?
Last time walipata mtu kama huyo aliwaharibia mipango yao. Hawadhubutu
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…