Serikali msifanye kosa la kumweka Lissu ndani pindi akirudi nchini

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,174
33,464
Kwa ujinga, CCM kupitia wanachama wait walioko serikalini IGP na hata majaji msifanye kosa la kumkamata Lissu siku akirudi na kumfungulia vijikesi visivyo na kichwa Wala miguu ili kumkwamisha asigombee Urais.

Mkifanya hivyo mtakua mmefanya makosa makubwa sana ya kiufundi yatakayo wagharimu sana
Mkimkamata na kumfungulia kesi mtakua mmempigia kampeni kitaifa na kimataifa. Mtawafanya watu wawe na huruma nae, hivyo kelele zitapingwa ndani na nje.

Watu wengi watamjua hata wale bao hawakua wakimjua. Watu watakumbuka maumivu aliyoyapata na hivyo kuwachukia nyie zaidi, kumbuka hakuna aliekamatwa juu ya alichofanyiwa.

Umoja wa Mataifa utingilia,
USA itaingilia,
EU itaingilia,
AU itaingilia,
Human Rights Watch wataingilia, n.k
Na mkilazimika kumwachia hamtaweza kumzuia kwa lolote.

Kwa namna yeyote mtakayojaribu kumsumbua ndio mtakua mkimpaisha kitaifa na kimataifa.
Kurudi kwa Lissu kutavutia vyombo vyote vikubwa vya Mabeberu, makondoo dume na majogoo wote duniani.

BBC, DW, CNN, Al Jazeera, SKY NEWS, VOA, FRANCE INT,etc. Bila kusahau watu wa FATOU BENSUDA, CIA, BSS etc

Nawapa ushauri, shauri yenu.
 
Naunga mkonyo hoja! Ni busara kumuacha afanye kampeni kwa amani na uhuru, otherwise watakumbusha machungu aliyopitia na kila mtu atamhurumia ndipo watu watapatwa hasira.

Better they leave him alone.....
 
Walisema hivyo hivyo katika makinikia
Walisema hivyo hivyo katika dhahabu
Walisema hivyo hivyo kuhusu mabosi wa IPTL rugamarila na singha lakini mbaka leo wapo ndani
Muhalifu ni Muhalifu tu hata awe na mapembe sheria ni msumeno
 
Kwa ujinga,CCM kupitia wanachama wait walioko serikalini IGP na hata majaji msifanye kosa la kumkamata Lissu siku akirudi na kumfungulia vijikesi visivyo na kichwa Wala miguu ili kumkwamisha asigombee Urais.
Mkifanya hivyo mtakua mmefanya makosa makubwa Sana ya kiufundi yatakayo wagharimu Sana
Mkimkamata na kumfungulia kesi mtakua
Mmempigia kampeni kitaifa na kimataifa,
Mtawafanya watu wawe na huruma nae,hivyo kelele zitapingwa ndani na nje.
Watu wengi watamjua hata wale bao hawakua wakimjua,
Watu watakumbuka maumivu aliyoyapata na hivyo kuwachukia nyie zaidi,kumbuka hakuna aliekamatwa juu ya alichofanyiwa,
Umoja wa mataifa utingilia,
USA itaingilia,
EU itaingilia,
AU itaingilia,
Human rights watch wataingilia,
N.k
Na mkilazimika kumwachia hamtaweza kumzuia kwa lolote.
Kwa namna yeyote mtakayojaribu kumsumbua ndio mtakua mkimpaisha kitaifa na kimataifa.
Kurudi kwa Lissu kutavutia vyombo vyote vikubwa vya Mabeberu,makondoo dume na majogoo wore duniani.
BBC,DW,CNN,ALJAZEERA,SKY NEWS,VOA,FRANCE INT,etc
Bila kusahau watu wa FATOU BENSUDA,CIA,BSS.etc
Nawapa ushauri,shauri yenu.
Kwa nchi yetu bado sana
Tumefanyiwa mengi tumekaa kimya hata hili likitokea hakuna atakayethubutu kuingia barabarani.
Ushauri Chadema wawe na plan B
Anything is possible kwa nchi yetu.
Mungu atulinde sote
 
Umefanyiwa Nini? Wewe na Nani? Si uingie barabarani kwani umezuiwa?
 
Jela yake inabidi iwe maalum chini ya ardhi anzeanze kuona mapichapicha ya mfano wa kaburi,labda akili zake zitarudi.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Mbona mambo rahisi mno,muache huru bila bughudha. Akitaka kugombea uraisi ruksa, ubunge ruksa.kampein ruksa.kesi za kisiasa futa.
Lakini kutaka kumdhibiti ni kununua kesi mbaya sana Hague bure.
 
Kwa ujinga,CCM kupitia wanachama wait walioko serikalini IGP na hata majaji msifanye kosa la kumkamata Lissu siku akirudi na kumfungulia vijikesi visivyo na kichwa Wala miguu ili kumkwamisha asigombee Urais.
Mkifanya hivyo mtakua mmefanya makosa makubwa Sana ya kiufundi yatakayo wagharimu Sana
Mkimkamata na kumfungulia kesi mtakua
Mmempigia kampeni kitaifa na kimataifa,
Mtawafanya watu wawe na huruma nae,hivyo kelele zitapingwa ndani na nje.
Watu wengi watamjua hata wale bao hawakua wakimjua,
Watu watakumbuka maumivu aliyoyapata na hivyo kuwachukia nyie zaidi,kumbuka hakuna aliekamatwa juu ya alichofanyiwa,
Umoja wa mataifa utingilia,
USA itaingilia,
EU itaingilia,
AU itaingilia,
Human rights watch wataingilia,
N.k
Na mkilazimika kumwachia hamtaweza kumzuia kwa lolote.
Kwa namna yeyote mtakayojaribu kumsumbua ndio mtakua mkimpaisha kitaifa na kimataifa.
Kurudi kwa Lissu kutavutia vyombo vyote vikubwa vya Mabeberu,makondoo dume na majogoo wore duniani.
BBC,DW,CNN,ALJAZEERA,SKY NEWS,VOA,FRANCE INT,etc
Bila kusahau watu wa FATOU BENSUDA,CIA,BSS.etc
Nawapa ushauri,shauri yenu.
Hivi shirawadu bado wapo
 
Acha uoga. Amri ya mahakama bado iko pale pale.
Mkuu nchi tamu sana hii, nafanya uhalifu baada ya hapo nagombea uraisi na kufanya hivyo nasafisha uhalifu wangu. LAKINI KWA BABA WA DODODMA NINA HOFU KAMA HUO MTEGO ATAINGIA. SEGEREA, SEGEREA, SEGEREA, SEGEREA, SEGEREA, SEGEREA, SEGEREA NYUMBA YA LISSU.
 
Mimi hapo nimevutiwa na bibi Fatou Bensouda, maana yeye ndiye atatufanya kuwa na akili

Back
Top Bottom