Sahani20
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 1,517
- 746
basi alitisha kwa kauli hzo
Mh Rais alisema kuwa watu kama hawa wanapaswa wajiongeze na watumie akili za ziada....
Wanashindwaje kuendesha shughuli za uzalishaji kwa VAT ndogo kiasi hiki? Au wanataka kumlingia Rais kwa hako kakiwanda kao? Serikali imeongeza tozo ipi ijenge viwanda vingine, mbona mamlaka ya Bandari hailalamiki kwa ongezeko la tozo?
Wasiijaribu kabisa serikali ya Magufuli, kama hawataki warudi kwao Thailand, huenda wakawa marafiki wa Lowassa hawa.
Na kwanini walalamikie udogo wa soko la bidhaa zao.?
Rais alishatoa ushauri, kama umekosa soko la bidhaa zako yakupasa kujiongeza na kutumia akili zaidi... Wahakikishe wanapaki hizo bidhaa zao kwenye maBaiskeli wakauze kule Dodoma.
"Wasimjaribu na kumuudhi rais, yuko busy kuandaa Tanzania ya viwanda."