Mbona unashambulia tu? Huoni hoja zake?Mbona sie walinzi...tuhamishwa malindo..kila siku hatulalamiki....
Kafundishe msingi...huko
Tena elimu kubwa zote...zikafundishe msingi.
Umeuita msingi...unataka ujenge na mafundi wasiojiweza?
Nenda kafundish upesi.hutaki rudi kwenu kakae nanao.
Nchi ya walalamika.
Si mlikuwa mnashangaa wanafunzi kuja seco bila kujua kusoma na kuandika....sasa kafanyeni jitihada yasitokee yale ya kuchora mazombi.
Kajenge msingi
Katika sentensi za kipuuzi hii huwa inaongoza.Mange abasemaje?au hajapata Uzi.
Waandike barua za madai kwa kurejea vifungu katika sheria ya ajira na mahusiano kazini na au Kanuni za kudumu za utumishi wa umma.Kuwahamisha kwenda Msingi
Ujumbe huu ufike Tamisemi
1. Mmedhalilisha taaluma ya Ualim.
2. Mmedharau walim wa sekondari.
3. Walimu wamehamishwa kama mizigo...hakuna makubaliano yeyote yaliyofanyika...
4. Chuki na fitna zimetamalaki uhamisho huu.. Mkuu anatoa tu watu alokuwa na chuki nao...bila kujali productivity.
5. Mtaani walimu hawa waliohamishwa wanachukuliwa kama wao ndo chanzo cha kufeli kwa watoto
6. Hakuna malipo yeyote walimu hawa wamelipwa... Kauli moja tu. Nendeni mkaanze kazi hutaki leta barua yetu ondoka hili ni agizo la Rais.
7. Hakuna training yeyote mmepanga kunoa walim hawa...!'psychological shape'
Wanaenda mazingira mapya ki mtaala...
8.
9.
10.
Kwa ukatili huu juu ya walimu..msitarajie matokeo.
Mbona sie walinzi...tuhamishwa malindo..kila siku hatulalamiki....
Kafundishe msingi...huko
Tena elimu kubwa zote...zikafundishe msingi.
Umeuita msingi...unataka ujenge na mafundi wasiojiweza?
Nenda kafundish upesi.hutaki rudi kwenu kakae nanao.
Nchi ya walalamika.
Si mlikuwa mnashangaa wanafunzi kuja seco bila kujua kusoma na kuandika....sasa kafanyeni jitihada yasitokee yale ya kuchora mazombi.
Kajenge msingi
Naona umekurupuka...Mbona sie walinzi...tuhamishwa malindo..kila siku hatulalamiki....
Kafundishe msingi...huko
Tena elimu kubwa zote...zikafundishe msingi.
Umeuita msingi...unataka ujenge na mafundi wasiojiweza?
Nenda kafundish upesi.hutaki rudi kwenu kakae nanao.
Nchi ya walalamika.
Si mlikuwa mnashangaa wanafunzi kuja seco bila kujua kusoma na kuandika....sasa kafanyeni jitihada yasitokee yale ya kuchora mazombi.
Kajenge msingi
Msamehe tu. Ameandika kwa tambo hasa halafu utakuta shida zimemjaa hadi kwenye kope.Nisaidie ...thanks.
Aliongea lini hivyo!??nikimnukuu ndalichako "... ni huruma tu za serikali, ilibidi walimu hawa wapigwe redundancy"
hapo ndipo nilipoamini mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa na ukawa mwisho wangu kumtetea huyu mama kwa hoja popote pale.
Hee...Redundancy tena?nikimnukuu ndalichako "... ni huruma tu za serikali, ilibidi walimu hawa wapigwe redundancy"
hapo ndipo nilipoamini mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa na ukawa mwisho wangu kumtetea huyu mama kwa hoja popote pale.
ngoja nikutafutie kama nitapata clipAliongea lini hivyo!??