Katika hali ya kustaajabisha jipu tambazi la ada za private school limeshindikana kutumbuliwa. Huu ni mwanzo mbaya au dalili za kuanza kushindwa kwa kasi ya mabadiliko ya kudandia. Serikali ilijipambanua Ifikapo December 15 wangekuja na Muongozo lakini hakuna kitu. Hakika mabadiliko bado sana huu ni mwanzo huenda na sekta nyingine wakaendelea kuitisha serikali.
hzi taarifa has a za parandesi ya pili hazina hats chembe ya ukweli. Pitia chanzo chakoHivi mtoto akiwa nyumbani unaweza kumlisha na kumpatia malazi kwa 350,000 kwa mwaka?
Ikumbukwe kuwa Serikali inapeleka kwenye shule zake za bweni zaidi ya 3m kwa mwanafunzi.
hzi taarifa has a za parandesi ya pili hazina hats chembe ya ukweli. Pitia chanzo chako
Hivi mtoto akiwa nyumbani unaweza kumlisha na kumpatia malazi kwa 350,000 kwa mwaka?
Ikumbukwe kuwa Serikali inapeleka kwenye shule zake za bweni zaidi ya 3m kwa mwanafunzi.
Huu ndio mwanzo wa mwisho wa ngosha