Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,179
Serikali mbili zenye marais watano ni vague na pia ni gharama kubwa.
Ni vema kuwa na serikali moja ya Tanzania.
Serikali ya Zanzibar isiwepo kama ambavyo hakuna serikali ya Tanganyika.
Hayo ndio hasa yalikuwa malengo ya waasisi wa Muungano.
Muundo wa serikali mbili haukubaliki maana ni gharama na unaifanya Tanganyika kuwa nchi isiyo na mwenyewe.
Otherwise tutaendelea kuikana nchi yetu Tanganyika kwa gharama ya Zanzibar.